Ni kweli vikombe vnachangia kwny hzo tuzo,ila swali hapa ni kwamba wote walioshinda tuzo miaka ya nyuma walikuwa na vgezo hvyo?!
Messi tena
Cristiano Ronaldo, Ribery na Lionel Messi ndio wamebaki katika list ya wachezaji 23 waliokuwa wamechaguliwa kugombea. Mchezaji bora atatangazwa 06 Jan 2014.
Utabiri wangu ni Cristiano Ronaldo. Toa utabiri wako.
CR anastahili sana Mkuu, ila nina waiwasi kama FIFA watamtendea haki.
Christian Ronaldo yupo sawa sana ,, second Ribery na watatu messi