FIFA FOOTBALLER OF YEAR 2013/2014: Tatu bora hawa hapa.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,132
13,249
Cristiano Ronaldo, Ribery na Lionel Messi ndio wamebaki katika list ya wachezaji 23 waliokuwa wamechaguliwa kugombea. Mchezaji bora atatangazwa 13 Jan 2014.

Utabiri wangu ni Cristiano Ronaldo. Toa utabiri wako.
 
Frank Riber
Alibeba Kombe la Ligi Ujeruman, Club bingwa, na makombe mengine ambayo aliyapigania.
Lionel Messi
Mfungaji bora wa Ligi ya Spain na ni mfungaji bora wa Europe, takribani wiki 3 zilizopita alikabidhiwa Kiatu cha dhahabu. Pia mchezaji huyu kabakisha magoli 6 ili aweke Record yake duniani ktk UEFA Champions League.
Cristiano Ronaldo
NOTHING
 
Ni kweli vikombe vnachangia kwny hzo tuzo,ila swali hapa ni kwamba wote walioshinda tuzo miaka ya nyuma walikuwa na vgezo hvyo?!
 
tuzo hz znapgiwa kura na manahodha wa timu mbalimbali na makocha na sio watu wengne mpaka kufkia mwisho wa kupga kura CR7 alikuwa anaongoza kwa kula lakn kwa kuwa Blater na CR7 hawapatan wameongeza cku hadi tar 6 huo ni ukandamizaji anaejua anajua 2
 
CR anastahili sana Mkuu, ila nina waiwasi kama FIFA watamtendea haki.

Cristiano Ronaldo, Ribery na Lionel Messi ndio wamebaki katika list ya wachezaji 23 waliokuwa wamechaguliwa kugombea. Mchezaji bora atatangazwa 06 Jan 2014.

Utabiri wangu ni Cristiano Ronaldo. Toa utabiri wako.
 
CR anastahili sana Mkuu, ila nina waiwasi kama FIFA watamtendea haki.

Una wasiwasi na mahusiano yake na Blatter? Wanaopiga kura ni manahodha na makocha wa timu za taifa walio wanachama wa FIFA. Blatter has nothing to do with it.
 
Zamu ya CR7 japo sipingi kuwa Ribery na Mess wanajua pia.
Uamuzi kutolewa kwa kura bila kuuliza vigezo kwa mpiga kura kwanini anampigia anaye mpigia ni kipingamizi kwa Ribery kwani hatajwi kama ilivyo kwa Lionel na Christian
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom