FIFA Arab cup: Iran haipo ni nini shida?

Waislam wenye imani kali kabisa kama Isis, Al Qaeda, Boko Haram, Al Shabab nk hawaruhusu michezo ktk utawala wao wa kikatili.
 
Mkuu Hata Zanzibar ni arab country ila haipo huru tu, so usishangae kukuta Comoro, Arab Country inatambulika ikiwa either muna asili ya uarabu au hata munazungumza kiarabu. na wana Umoja wao wa nchi za kiarabu ambayo Comoro imo ndani yake.

Kuhusu Iran ni kuwa wao sio waarabu na wala Kiarabu sio lugha yao.
 
Umedumazwa na propaganda za Wamarekani na Israel wewe! Hivi kati ya Wairan na hao wengine walio kwenye hilo kombe, ni nani wana makundi ya kujilipua? Hivi una habari hata hao Boko Haram unaowataja hawapo madhehebu ya Iran?! Au umesahau kule Syria ni pamoja na Iran ndio walikuwa mbele kuwafyeka ISIS? Na ndo maana hata moja ya media kubwa USA iliwahi kuandika

View attachment 1829100

Hiyo habari iliandikwa baada ya kuuawa Qasem Suleimani wa Iran ambae ISIS hawatakuja kumsahau!!
Hivi unapojibu jibu unakuwa umesoma kile kitu na kuelewa au unajibu tu ili kujifuarhisha? Nani aliyekuambia kuwa Boko Haram ni dhehebu la Iran, naomba unionyeshe nimeandika wapi hilo...unataka kuniambia kuwa hujuwi Iran na Saudi Arabia ndiyo wana support terrorists groups duniani?
 
Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe kwa sababu haitakusaidia, vinginevyo nieleze ni kwa vipi umeihusisha Iran na kujilipua!!
 
Who funds most terrorist groups apart from Saudi Arabia na zamani enzi za Saddam, Iraq? I think you got it right, right now - si ndiyo?
 
Ndo maana nimekuambia unasikiliza propaganda za US na Israel!! Enzi za Saddam, the major terrorist group walikuwa Al Qaeda. Iraq ya Saddam pamoja na Iran (hadi ya sasa) hawakuwa na mahusiano na Al Qaeda! hata kama US walitaka dunia iamini Saddam Hussein alikuwa anawa-support Al Qaeda kama ambavyo waliiminisha dunia kwamba Saddam alikuwa naSilaha za Maangamizi, silaha ambazo hadi kesho hazijaonekana!! Hadi kesho, Iran ni adui mkubwa wa makundi yote yanayoendesha borderless terrorism. Kila anayefuatilia mambo ya Mashariki ya Kati, hawezi kusita kutamka bayana kwamba makundi mengi ya magaidi yanatokana na madhehebu ya Sunni, na kwa namna moja au nyingine, wanahusishwa na Saudi Arabia (iwe serikali au top officials bila kuhusisha serikali). Sasa kama hoja ya Iran kutowepo kwenye hiyo michuano ni kujilipua, mbona Saudi Arabia wapo?

Nasema umekomazwa na propaganda za US na Israel kwa sababu Iran inawa-support Hezbollah na Hamas kwa sababu hawa watu wana ugomvi usioisha na Israel na wala sio na taifa lingine lolote lile duniani!! Huwezi kusikia eti Hezbollah au Hamas wakiendesha harakati zao nje ya Palestina (for Hamas) or Lebanon (for Hezbolla), na ukiona wanafanya hivyo, basi wana-target adui wao, na kwahiyo hawafanyi mass terrorism nje ya mipaka yao ambayo wanaamini wanafanya"ugaidi"ili kulinda mipaka yao, and not otherwise! Na kwavile Hezbollah na Hamas wana ugomvi usiosha na Israel, basi US na Washirika wake wanaichukulia Hezbolla na Hamas kama vikundi vya kigaidi.
 
Ipo siku utakuwa kiakili, usinitafute kuniomba msamaha.
 
Back
Top Bottom