Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Licha ya watu wachache waliokuwepo kushuhudia show ya alikiba kutokana na show kufayika usiku sana kuna mashabiki walikuwa wanaicheki show kwa simu zao na kuonyesha hisia zao baada ya millard ayo kuipandisha show hiyo kwenye channel yake ya youtube, Mashabiki wake wengi sana wamemcharukia na kumkanya kuhusu uwezo wake wa liveband na kundi lake jipya alilioanzisha, Sina mengi ya kuongea soma comments za mashabiki hapa.