FIESTA Kiingilio 20,000 Tsh, Watu Wamejaa.Wanaolalamika Hakuna Pesa Mifukoni Ni Kina Nani ?

Mbona starehe huwa zinaendelea kila siku sehemu nyingi, kwani mkitaka kuona tokeni makwenu muone.

Wenye pesa acha wale raha zao kujiburudisha, wasio nazo wzisake nao waburudike wakitaka.
 
Kwa akili ya mtoa mada anaweza akasema hata Somalia,Sudan,syria..nk.hakunakumbi za disco.
 
Hahahah Wapige Search Uone kama Wana Hela Zingine..

Enzi hizo ilikuwa unaenda Na Laki Mfukoni.. Sasa Hivi wanarudi Home Wote
 
Kama huna pesa kaa kimya wazee wa bandari meli hyooooooo ndani ya imooooooooooo totozi kwenda mbele huku Niko na mchupa wa wisky CAPTAIN MORGAN na totozi za UDSM hapo nawasaidia mana BOOM imegoma kidogo
 
Back
Top Bottom