FIESTA Kiingilio 20,000 Tsh, Watu Wamejaa.Wanaolalamika Hakuna Pesa Mifukoni Ni Kina Nani ?

Wakitoka huko na mipombe yao,wanaanza kutujazia nafasi humu....Ajira hakuna!
 
Elfu 20 sio kipimo cha watu kuwa na hela ukizingatia hela imeshuka thamani sana,we hiyo elfu 20 unaitumia siku ngap?
 
Hizo hela zaidi ya nusu jana zimetolewa na HELSB,bodi ya mikopo na ndio maana DARUSO walianzisha maandamano.

Wametombea hela za walipa kodi maskini,wana ywea supu wakati mama zao hawana la kufanya!

Eeh Mola,*
 
Elfu 20 sio kipimo cha watu kuwa na hela ukizingatia hela imeshuka thamani sana,we hiyo elfu 20 unaitumia siku ngap?

Acha darau za kihaya wewe!
Mtu anauza karanga za vipakti za shilingi 100 na ana vipakti 20 means mtaji wa elfu moja na anapata faidi ya elfu moja in total akiuza vipakti vyote anapata elfu 2.

Wapo wengi barabarani waliopanga hizo karanga,eti elf 20 si hela unatumia siku ngapi,hivi wewe unajielewa kweli wewe?
 
Hizo hela zaidi ya nusu jana zimetolewa na HELSB,bodi ya mikopo na ndio maana DARUSO walianzisha maandamano.

Wametombea hela za walipa kodi maskini,wana ywea supu wakati mama zao hawana la kufanya!

Eeh Mola,*
Dah. .....
 
Hivi elfu 20,000 nayo hela?
Hyo inategemea ntu na ntu hela ya tibaijuka ni hela ya mboga lakini ungeipata wewe ungejiita billionea kama wale wa chugga lakn kwa mwenzako ni hela ya kisamvu
 
Back
Top Bottom