FIESTA DAR: List ya wasaniii watakaokiwasha kwenye jukwaa la Fiesta Nov 5 hii hapa

Aurthur

JF-Expert Member
Feb 1, 2016
2,743
2,107
63f27e6784d0a5505b9b598b578bf4a6.jpg
 
Bola nibaki om nicheck mov 2 show bila mond dhaaaaaaA
 
Naona Kibamia anaongoza wasanii wenzie wa kulipwa buku jero

huyo juma nature ukimpa gongo lita tano anafanya shoo usiku kucha
huyo chege ikimpa gunia la bangi anaweza kufanya shoo mpaka asubuhi
barnaba ukimsifia ana sauti nzuri anafanya shoo
baraka mkataba kashika naj

.......
 
Harmonize & Rich Mavoko kulikoni?
Sijawasikia fiesta, sana sana nawaona kwenye birthday
 
Back
Top Bottom