Fiery protests erupt in Indonesia's West Papua region Government buildings and commercial establishments burned as angry Papuans protest against arres

Hearten

Member
May 17, 2016
46
54
10749011ac5142da856f4718b9a76611_18 (1).jpg

JAKARTA ,INDONESIA: Maandamano nchini Indonesia yageuka kuwa ghasia baada ya mamia ya waandamanaji kukasirishwa na kitendo cha Polisi kuwanyanyasa Wanafunzi wenye asili ya Papua.

Waandamanaji hao wamezuia miundombinu ya kijamii pamoja na kufunga barabara polisi pamoja na vyombo vya habari ikiwemo Al Jazeera vimeeleeza kuwa waandamanaji hao katika jimbo kuu la Papua Mashariki Mji Mkuu wa Manokwari wameharibu jengo la Bunge pamoja na maduka katika eneo hilo

Msemaji mkuu wa polisi nchini Indonesia Dedi Prasetyo amenukuliwa na Al Jazeera akisema kuwa nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na Gavana wa zamani wa Jimbo la Papua mashariki Dominggus Mandacani imeteketezwa kwa moto.

=====

Jakarta, Indonesia - Large demonstrations in Indonesia's West Papua region have turned violent as thousands of protesters, angered by alleged police abuse against ethnic Papuan students, burned public facilities and blocked roads.

In West Papua province's capital of Manokwari, protesters burned the parliamentary building and local stores, according to police and images obtained by Al Jazeera.

A building previously occupied by West Papua Provincial Governor Dominggus Mandacan was also burned, Indonesia's national police spokesman, Dedi Prasetyo, told Al Jazeera.

There were no immediate reports of casualties. The demonstrations are still ongoing.
"For now, we are still focusing on collecting the data on the casualties and trying to calm down the masses," he told Al Jazeera.

Images obtained by Al Jazeera showed the demonstrators, including many young students, waving the "Morning Star" flag, which is seen as a symbol of self-rule by Papuans.

Source: Al Jazeera
 
Back
Top Bottom