Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Dah!!wakubwa tangu nije kupga fild huku kwenye maofisi ya wa2 nimegundua kwamba chuo unachosoma hakina ishu ktk kutafuta job..juzi kati c kukawa na job interview ya position mbalimbali hapa ofisin,bac washkaj kibao frm udsm,sua,mzumbe,iaa,muccobs,saut,ifm,tumaini nk wakawa wamekua short listed.hamuwezi amin wajamen,pamoja na hii taasisi ninayopgia fild kuwa kubwa na nyeti ktk uchumi wa tanzania bt imechukua graduates kutoka vyuo ambavyo havina hata majina...nimeanza kuamini sasa kwamba,kitakacho kubeba ktk job ni uelewa wako wa mambo na co jina la chuo,u cnt beleive,hakuna graduate wa udsm,mzumbe wala ifm aliyepita kwenye ile interview...