Fidia Mto wa Mg'ombe. Je, pesa zimeliwa?

Benderea

Senior Member
May 25, 2021
118
258
Fidia imecheleweshwa sana na wananchi walishasaini zaidi ya mwezi ulishapita wakaahidiwa kulipwa ndani ya wiki mbili!

Leo zaidi ya mwezi hawajalipwa ukiuliza ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni ambao ndo walifanya tathmini wanasema pesa walisha pelekewa TARURA-DMDP ili walipe wao hawahusiki tena?

Hawa TARURA-DMDP hawajalipa mpaka sasa.

Je, pesa zimeliwa? Ni ajabu mpaka leo kwa nini hawajalipa?
 
Back
Top Bottom