Fidia inakuwaje kwenye miche midogo na miti mikubwa ya michikichi

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
hivi kwenye shamba la michikichi kuna utaratibu gani wa malipo ya fidia kwenye mazao yaliyokuwa shambani. nina shamba la michikichi ambalo serikali wamekuja kupima viwanja lakini kuna michikichi ya kimo mbali mbali kuanzia michanga mpaka iliyozeeka sasa sijui ni namna gani ya fidia kulingana na umri wa miti ya michikichi au yote inalipwa sawa tu.
 
Kwa uelewa wangu. Michikichi michanga fidia yake huwa ni 50% ya mchikichi uliokomaa...
 
Kuna jedwali la fidia kwa mazao yote. Na fidia yake ina kiwango kamili kwa miche ni 30%.
 
Back
Top Bottom