Fidel Castrol alifanya makosa makubwa sana kutumia rasili mali zake kusaidia Bara la Africa Aibu ili

Wakati wengine wakijikita kwenye vumbuzi za kimaendeleo, waafrika wamejikita kwenye ndoa za mitaala, ufisadi, vita vya wenyewe kwa wenyewe, wizi, na kila aina ya ovu unaloweza kulifikiri.

Ubaya ni kwamba waafrika wakiambiwa mapungufu yao wanawaka kama moto wa petrol, hawataki kuambiwa ukweli.
Tokea karne na karne Africa tumekuwa kwenye usingizi fo fo fo mpk wazungu,waarabu wakaja kututawala ,ss tuliishia kuvaa magome ya miti na kama hawa wazungu wasingetia mguu Africa mpk leo tungekuwa ma bushmen

Sisi ni tegemezi sana ,hatuna tunachojivunia tupo tupo tu ,ni aibu mpk 2016 hatuwezi kujiendesha tunategemea kusaidiwa,,hopeless

Mpaka aibu ase
 
Hilo ni kweli kabisa, kama waafrika wangekuwa imara wangeenda kutawala mabara mengine.
Matatizo ya Africa hayahesabiki, hakuna kizuri kinachoongaza kwa kufanywa na waafrika.
 
Nikiwa chuo niliwahi kutoa hoja ya kuiponda Africa na watu weusi

Eti tunakaa kulalamikia wazungu tu eti ndo walio tudidimiza

Hivi bila wazungu Tanzania tungeijua reli kwanini walivyo tuachia hatuviendelezi ndo tunavibomoa tu

Kazi kulalamika lalamika tu na kutegemea misaada isiyojulikana mwisho wake lini

Nakupeperushwa kama bendera mara ujamaa mara ubepari AFRIKA OVYO SANA
 
Mimi nakubali watu weupe ni kizazi kiteule wameumbwa kuja kutawala na watu weusi tumeumbwa kuja kuwa watumwa wao kama wanavyo fundishwa kwenye mitaala yao iliyopita

Hence I proved
 
Hata mie nilfundishwa na mwalimu toka Cuba sisi waafrika ni wanafiki kweli.
 
Africa ina aibisha sana, ni bara ambalo halijawahi kuchangia chochote kwenye maendeleo ya hii Dunia.

Ni bara mzigo, linasaidiwa na wengine karibia kila kitu,

Hata kama Africa isingekuwepo Dunia isingepungukiwa hata kidogo
Soma post yako vizuri, kisha ufungue vitabu vya historia ya maendeleo ya dunia utazigundua pumba ulizoziandika katika post yako.
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Soma post yako vizuri, kisha ufungue vitabu vya historia ya maendeleo ya dunia utazigundua pumba ulizoziandika katika post yako.
Hata vikiandikwa vitabu vya kujaza maktaba zote Duniani kuhusu Africa, haitaondoa uhalisia wa kwamba Africa ni bara la miyeyusho.
 
Hata yeye alisikitishwa na Waafrika japo hakuweza kusoma.
Na alipomtuma Che Guevara Congo DRC aliamua kumrudisha nyumbani.
 
Tokea karne na karne Africa tumekuwa kwenye usingizi fo fo fo mpk wazungu,waarabu wakaja kututawala ,ss tuliishia kuvaa magome ya miti na kama hawa wazungu wasingetia mguu Africa mpk leo tungekuwa ma bushmen

Sisi ni tegemezi sana ,hatuna tunachojivunia tupo tupo tu ,ni aibu mpk 2016 hatuwezi kujiendesha tunategemea kusaidiwa,,hopeless

Mpaka aibu ase
Ndio muache ngono na pombe,maana akili zenu ziko chini ya kitovu,na ubongo wenu umejaa dengerua shwaiiin.
 
Nikiwa chuo niliwahi kutoa hoja ya kuiponda Africa na watu weusi

Eti tunakaa kulalamikia wazungu tu eti ndo walio tudidimiza

Hivi bila wazungu Tanzania tungeijua reli kwanini walivyo tuachia hatuviendelezi ndo tunavibomoa tu

Kazi kulalamika lalamika tu na kutegemea misaada isiyojulikana mwisho wake lini

Nakupeperushwa kama bendera mara ujamaa mara ubepari AFRIKA OVYO SANA
Acheni kufunua magaguro na chupi za wanawake kila dakika,ndio maana wazungu waligundua waafrica wanawaza ngono 24/7,wakaleta AIDS wakaitegesha pale kwenye mautelezi,baaaaasi sasa ndio kifo cha mende kwa kwenda mbele shwaiiin.
 
Soma post yako vizuri, kisha ufungue vitabu vya historia ya maendeleo ya dunia utazigundua pumba ulizoziandika katika post yako.
Mgboss Mkuu,umenena vyema sana,naomba uendelee kumuelimisha huyo KAPUKU asiejua thamani yake kama Mwafrika.
 
Hakika nimesikitika sana kwa namna nchi za Africa zilivyomtenga Fidel Castro.Fidel Castro alikuwa Freedom fighter ambaye alitumia rasili mali zake kuikomboa bara la Africa mikononi mwa madhalimu.Takwimu zinazoonyesha takriban wanajeshi 381,432
wa cuba walishiriki katika mapambano ya kusaidia nchi za Africa waweze kujitawala.Wanajeshi hawa walitumia jasho na damu zao kusaida nchi za Africa japo hawakuwa wazawa.

katika misafara iliyoenda Cuba kwaajili ya maombolezo nchi za Africa ni nchi 2 tu ambazo zimepeleka wajumbe.Rais wa Africa kusini na Rais wa Zimbabwe ni viongozi pekee wa bara la Africa waliohudhuria mazishi ya Fidel Castro

makamu wa rais wa china,Waziri wa India, wajumbe wa Iran,urusi na viongozi wote wa nchi za America kusini wamehudhuria mazishi ya Fidel Castro huku Jumuiya ya umoja wa ulaya ni nchi pekee tu ya Ugiriki ambayo imemtuma mwakilishi katika mazishi ambaye ni waziri mkuu.

1.Fidel Castro aliwatoa madaktari wake waende kutibu ugonjwa wa Ebola uliokuwa umeikumba nchi za Africa Magharibi.

2.Fidel alitoa scholarships za kwenda kusomea udaktari kwa nchi nyingi za Africa

3.Fidel alitumia Rasili mali watu ''wanajeshi'' kwenda kusaidia mapambano dhidi ya wakoloni,moja ya nchi iliyosaidiwa ni Angola lakini kwa kusikitika Angola hawajapeleka mjumbe katika mazishi ya Fidel zaidi ya veterani mmoja aliyeshiriki vita kujitolea kwenda kuhudhuria mazishi ya Fidel.Takwimu zinasema idadi ya wanajeshi 2000 wa cuba walifariki katika mapambano katika nchi ya Angola.

4.Fidel alijenga shule nyingi katika maeneo mbali mbali Africa mfano Tanzania shule za Ruvu,ifakara nk zilijengwa na Cuba.

5.Cuba imekuwa ikitoa mafunzo ya kijeshi na Intelligensia kwa nchi mbali mbali za Africa.

Ni aibu ni nchi 2 tu kutoka Africa ambazo zimetuma wawakilishi katika msiba wa Fidel, Robert Mugabe na Jacob zuma tu ndio wamehudhuria.

Na ni masikitiko makubwa nchi ya Angola haijatuma mwakilishi kwenda kuhudhuria msiba wa Fidel wakati zaidi ya wanajeshi 2000 wa cuba walikufa katika mapambano nchini Angola katika harakati ya kuikomboa Angola na wanafunzi 14,000 waipata kusomeshwa nchini cuba.

mozambique,Congo waliosaidiwa kijeshi na Fidel Castro kupigania ukombozi leo hii wamesusa kuhudhuria mazishi ya Fidel.

Cuba walikuja Africa kama madaktari,walimu,wanajeshi,wakufunzi ,watafiti lakini siyo kuja kwa lengo la ukoloni.

Hata msiba wa Ronald Reegan ma rais wa nchi 6 Africa walihudhuria wakati Ronald Reegan na serikali yake walikuwa wana sapoti apartheid kule Africa kusini na walimuorodhesha Mandela kama Gaidi na alikuwa kwenye watchlist ya magaidi.Huku Fidel freedom fighter aliyeenda kumsaidia Mandela tukimsusa

Hakika Fidel Castro hajatendewa haki na nchi za ki Africa,jumuiya ya ulaya na Amerika wamemtenga na sisi wa Africa tumemtenga pia.

R.I.P Fidel rasili mali na nguvu ulizotumia kusaidia Africa ungetumia kuliendeleza taifa lako
Uko sawa kabisa mkuu,Fidel hakuwa mjinga,isipokuwa viongoz tulionao sasa African Sio kabisa fakes and cowardly leadership
 
Back
Top Bottom