Fid Q, ndio umeimba nini sasa kwenye "moyo unaniuma!?!" Wasanii wa hiphop mna safari ndefu bado!

UngaUnga

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,724
1,463
Nimeusikiliza huu wimbo clouds sasa hivi, sijaona hata mstari mmoja Wa maana nnaoweza kuuweka kichwani, una flow tongue twister, unang'ata maneno!+ quote za kimombo!, rudi enzi za MWANZA MWANZA! Joh! Kwa staili hiyo!, UTAENDELEA KUCHONGA VIAZI!!!.㊙㊗anaekuambia ukweli, anakupenda! Sio adui! No fan wako, ila kwa staili hiyo! MH MH!, NIMEMMISS FID YULE WA ZAMANI!.
 
Goodmorning hater!! Ile ngoma ya Fid imesimama!! Yaani lazima niicheki mara tatu+daily!! Nyimbo nzuri video nzuri,kaicheki tena kabla hujalewa utaelewa tu.
 
Yanayonihusu ni Yale ya chumbani kwa mamaako! Amaa!? Kilichokuleta kwenye Uzi Wangu nini?!! AU GE.NYE!!!!?
Vipi mna ugomvi binafsi na jamaa hapo juu?

Fid kuflow style tofauti ni kutafuta kutochokwa we tulia tuliii maneno yatakuingia....
 
Naona umetoka jela jana sio makosa yako yani wimbo una mwaka wewe jana ndio umeusikia halafu Povu pipa
 
Nimeusikiliza huu wimbo clouds sasa hivi, sijaona hata mstari mmoja Wa maana nnaoweza kuuweka kichwani, una flow tongue twister, unang'ata maneno!+ quote za kimombo!, rudi enzi za MWANZA MWANZA! Joh! Kwa staili hiyo!, UTAENDELEA KUCHONGA VIAZI!!!.anaekuambia ukweli, anakupenda! Sio adui! No fan wako, ila kwa staili hiyo! MH MH!, NIMEMMISS FID YULE WA ZAMANI!.
Duh!!! Hakuna msanii bongo namuelewa kama fid na hii nyimbo yake ya roho ndo kila wakati lazima niisikilize. Kuielewa hip hop ya fid haitakiwi uwe mtu wa kukariri
 
Current song ya fid q=sumu nao ni hovyo tu! Nam-admire that's y namfuatilia wee ng'ombe!
kweli kabisa huyu jamaa kwasasa sijui anaimba nn anauma maneno tu mbona wengine lyrics zao zinasikika vizuri yeye anatatizo gani?
 
Nimeusikiliza huu wimbo clouds sasa hivi, sijaona hata mstari mmoja Wa maana nnaoweza kuuweka kichwani, una flow tongue twister, unang'ata maneno!+ quote za kimombo!, rudi enzi za MWANZA MWANZA! Joh! Kwa staili hiyo!, UTAENDELEA KUCHONGA VIAZI!!!.㊙㊗anaekuambia ukweli, anakupenda! Sio adui! No fan wako, ila kwa staili hiyo! MH MH!, NIMEMMISS FID YULE WA ZAMANI!.

㊙㊗ ndio nini sasa??
 
ile ngoma ni hatari sana coz kuna mpangilio wa mistari. "kumsahau siwezi sana kumkumbuka nisemjua,mapenzi yalinfanya nkaumbuka nachoshukuru hayakuniua.
 
Back
Top Bottom