Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

Kibri ya kujificha wewe umeijuaje?

halafu swala la kutotoa mkono hili mimi nalihesabu kama slogani mahususi kulinda heshima ya mziki wake.

Mziki wa hapa bongo bila bifu ni ngumu kutusua, ukifatilia wasanii waliopata mafanikio hapa bifu lilihusika kwa namna fulani, mfano mr nice na dudu baya bila bifu hapa mr nice asingeweza kutusua. Hii nimeiona hata kwenye bongo movies kuna kipindi fulani kulikua na battle kati ya kanumba na ray yaani ni battle ambayo inawagawa mashabiki kuweka upinzani kama wa simba na yanga


Binafsi naamini alikiba na diamond hawana bifu ila bifu liko kwa mashabiki wa hizi timu mbili. Bifu lao ni kama battle yaani lime base kimuziki sio katika maisha ya halisia, mfano bifu ya tory lanez na joyner lucas hua inaishia kwenye mziki tu lakini hainamaana kama wanachukiana

Pengine alikiba angetoa mkono kumpa diamond angepunguza upinzani na kuonekana kama hawana bifu ni acting tu kwa ajili ya manufaa yao kimuziki.


Kuhusu fid q

Kiukweli nilikua namkubali sana fid q wa "ielewe mitaa", "propaganda" na latest "sumu" fid Q wa sasa kalegeza mno yaani nilishangaa naye ameanza mipasho kama ya afande sele kuchambana na wasafi
Mumbe mr nice amatusua kimziki aisee tunaona tofauti nmeamini angetusua si angeacha kuwa omba omba huko kenya!!??
 
Nipsey Hussle hakuwa na walinzi alipopigwa risasi? 2 Pac je? Biggie je? Watu wakiamua kukuua wanakuua tu, wanauawa marais wenye convoy za walinzi ndiyo itakuwa Harmonize? Unapaswa kujifunza kusocialize na watu, leo unapojenga ukuta just because wewe ni msanii wa Bongo Fleva, mabodigadi kama wote, dharau na kibri kwa sababu umefanikiwa kidogo ni ushamba! Kwa hiyo kwa akili yako Harmonize ni mkubwa kuliko Ali Kiba?
Saaanaa sasa hilo ni swali au umetoa jibu Kiba hasogei kwa KondeBoy hata nusu
 
Screenshot_2019-08-29-20-05-44.png
 

Attachments

  • IMG_20190829_194729_421.jpg
    IMG_20190829_194729_421.jpg
    45.2 KB · Views: 21
Back
Top Bottom