Fid Q : Bongo Hip Hop Lyrics

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
VERSE 1:

Ulianza wewe.. wakaja waimbaji na wabana pua
Wale mwewe.. Franga wawindaji wakatusua
Kwakuwa.. wanajua mshikaji unaishi kwa miko
Na zako itikadi.. ziko kimziki na sio mshiko
Kama haileti hela..basi haimake sense.. no sweat kisela mie nikakomaa tu na lako penzi
Sikusound garbage au kuchange suddenly..
Mie ni mjeshi so naweza fight savagely

Hiphop ya ukweli.. ukapigwa radioni
Sometimes malaika wa heri nao hutembelea motoni
Penzi ni kipofu na anayemuona halioni
Sikuwa na hofu.. mama alinipenda tangu nikiwa tumboni
I started young.. I made my mother's womb a drum/
My umblirical chord a guitar.. muhoji aliyenizaa
BONGOFLAVA mzuri kiasi.. hiphop we ndo my queen
My 1st.. my last & everything in between

Chorus:
Mimi na wewe.. tangu long time/ Kabla ya hizi pesa kabla haijaja hii Fame
Cha ajabu haujabadilika na upo kwenye mainstream… BONGO HIPHOP X2

'
VERSE 2:

Kama kukupenda wewe ni dhambi.. basi shetani yu nami
Na kamwe sintonyea kambi ili niwabambe dukani
For a million little pieces naweza kumcon Oprah ka James Frey
Na watasema sitishi wakati wanaogopa nisitokee
Waufuate mkumbo huu wa wasomi.. wa midundo na mistari
Ukiwa na nyundo mkononi.. ni rahisi kupigilia msumari

Sio tu bongo.. mpaka Ng'ambo hakuna uhuru wa habari
Kuna uhuru wa mwenye chombo.. mitambo na mwenye mali
Kujifanya hawasikii.. haiwasaidii.. wala haiwajengi
Unachosema ni.. kamwe IPP haitompinga Mengi
Unawakumbusha wazazi wa uswazi.. chati ya uteja imeingia
Na Mapusha wanauza drugs ili walishe familia
Mbaya.. kuhifadhi fuvu la mtu ndani ya kabati
Mbaya zaidi ni kuwa na ndugu.. halafu kichwa maji
Amka bongo lala.. hiphop sio ufala.. ni lazima uifate
Uaminifu ni kama mshahara.. fanya kazi ili uupate

VERSE 3:
Mapenzi ya sikuhizi.. bila kugombana yanakua hayana stimu
Pia ni ruksa kushikana lakini sio kushikiana simu
Inanipa wazimu.. kusikia kimwana haujaachana na Hasheem
Na bado mnawasiliana..una mpango wa kuchanganya timu?
Nakupenda hiphop.. ndo maana ninarap ile mbaya
Naspit fire bila hennessy.. au kula kaya

I want my art to be my legacy.. kabla sijaretire.. waanze nigwaya hawa enemies.. anyways NI HAYO TU
Beef huletwa na wivu.. na wivu sio hiphop
MC nayetaka BEEF amlete Maza ake kwa strip club
BONGO FLAVA ananipima.. kama nimeiva kimasomo
Anagundua mie ni dreamer pia ni believer zaidi ya Common
Cha ajabu hunitempt... ili nikuache HIPHOP
Anaahidi atanipa GOOD SEX.. wewe unanipa TRUE LOVE
Hajui who's next.. wewe unanipa tu mashavu
Nikipaa.. anaumia.. anatamani nishuke chini

Nami sikutamani USTAA.. USTAA ulinitamani mimi
Nilichohitaji.. ni kuitumia hii sanaa ili nishee na nyinyi
Hii zawadi.. niliyopewa na MPAJI ninayemuamini
MPAJI aliyenivika taji ilimradi incharge ni win
Na ninaamini.. kuna muda huongea kwa kupitia mimi
Na hunisamehe ninapokosea.. ni vyema mkanizoea nyinyi
Naweza kuona unachotaka au atakachonionyesha
Nikitoa ngoma.. wanaitaka.. wanaipata.. coz wewe ni special
 
Uzuri wa jamaa huwa hakurupuki japo hajui freestyle
tena na siku hizi amekoleza kwa kuwa na live band
Jamaa hakamatiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom