Fibre optic - mkongo wa mawasiliano

Alaigwanani

Member
Nov 9, 2010
15
0
jamani kuna mtu ana habari kuhusu hii(fibre optic cable), tulisikia ikianza tutafaidi kupata punguzo la bei kwa watumiaji wa internet. Tukatazamia kuona mwaka huu kuwa namabadiliko makumbwa kwenye mambo ya habari. lakini naona mwaka unaisha na hali ni ileile
 
Back
Top Bottom