Ffu Wareje Tena Udsm

Kuntakinte

JF-Expert Member
May 26, 2007
701
31
Ninavyosema sasa hapa kuna waka moto baada ya wanafunzi kuamua kuanzisha maandamano kuelekea kwenye Ofisi za Utawala wa Chuo hapa kwakile wanachopinga Uongozi wa Chuo kuingilia masuala yao wanafunzi hasa walipoamua kusimamisha Uchaguzi wa Viongozi wa DARUSO hapa Chuoni.

Kwa mshangao wa haraka, wanaume naona wameingia na kuanza mikwala ya kutawanya watu.

HABARI ZAIDI BAADAE KIDOGO.
 
Hao FFU kwa nini wasingepelekwa Comoro?Udsm kuna nini mpaka hao watu wapelekwe huko au ndio kwenda kuwatisha watoto wa watu.
 
Hii naomba iunganishwe na thread ya wanafunzi wa chuo kikuu kuomba msaada hapa JF.
Pia tuangalie chanzo cha mgogoro mpaka kufikia mgomo na uhalali wa mgomo huo kabla ya kutoa hukumu.
 
hata mimi naunga mkono, sometimes matumizi ya nguvu ni lazima especially kwa waelewa wanaojifanya kutoelewa...
 
Ninavyosema sasa hapa kuna waka moto baada ya wanafunzi kuamua kuanzisha maandamano kuelekea kwenye Ofisi za Utawala wa Chuo hapa kwakile wanachopinga Uongozi wa Chuo kuingilia masuala yao wanafunzi hasa walipoamua kusimamisha Uchaguzi wa Viongozi wa DARUSO hapa Chuoni.

Kwa mshangao wa haraka, wanaume naona wameingia na kuanza mikwala ya kutawanya watu.

HABARI ZAIDI BAADAE KIDOGO.

wattoto msilale huko mpalka kieleweke, msifanye fujo lakini
 
Wewe unafurahia swala la wasomi kupigwa na FFU bila sababu yoyote ile?

Wasomi hawafanyi migomo kama chuo kikuu cha dar...kinapoteza adhi yake sasa....jamani watch sio kama zamani....hawa wanatakiwa wafanyiwe kama mwaka 1993 - 1994.

Kila kitu wao wanagoma na kuandamana imefika wakati sasa hata pa kuanzia kuwa support hatujui....

Wacha wapigwe kwanza ndio watarudi kusoma...harafu wakifeli wanasema ma prof wanawabania...muda wote wako kwenye migomo.

Buswelu.
 
Yanayotokea UDSM ni matokeo ya utashi wa KISIASA kwenye elimu zetu

Chama Tawala kinafurahia kuongeza idadi ya wanafunzi wa vyuo ktk uanachama lakini hata siku moja hakijatoa tamko wala kusaidia madhila ya wanavyuo kwa ujumla wake seuse wanachama wake.
Mnaoshabikia kudhibitiwa kwa wanachuo mna fikra mgando and mjue kuwa LILA NA FILA HAVITANGAMANI.
 
Back
Top Bottom