FFU wamvamia dereva na kuangusha daladala likiwa na abiria; mh Kombe tutafika ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFU wamvamia dereva na kuangusha daladala likiwa na abiria; mh Kombe tutafika ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,617
  Trophy Points: 280
  Askari wa ffu arusha wamevamia gari moja mjini arusha
  na kuanza kumchapa makofi dereva kabla ya kuanza kushikilia
  msikano na kuaangusha gari kwenye mtaro....
  Gari hilo t636 awx ilitokea leo hii....dereva wa gari anasema
  alifika kituoni akawakuta maaskari watatu...akasema jamani kuna nafasi ya mmoja imebaki kusimamisha siwezi alipakia mmoja akaondoa gari yule aliengia ndani akapit mpaka kwa dereva na kuanza kumchapa makofi kwa nini amewacha wenzake...baadaye akangangania sterling ya gari likaangukia mtaroni

  je mh kombe ni haki kweli wahuni kama hawa kuwepo jeshi la polisi

  more info
  angalia taarifa ya habari saa tano kamili itv
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  dawa ya hawa ni waanze kusomewa mashtaka. Tatizo ni moja, polisi ndo wasoma mashtaka. DUH! Jela inaendeshwa na wao. DUH! Kweli tupo mbali na maendeleo
   
 3. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Siyo kweli kwamba polisi ndio wanaoendesha mashtaka. Siku hizi polisi hawaendeshi mashtaka kwa sababu mtu huyohuyo hawezi kukufungulia mashtaka na kuendesha mashtaka. Siku hizi ni mawakili wa serikali ndo wanaendesha mashtaka Kama umeshika namba ya huyo askari itoe tuifanyie kazi.
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Inasikitisha sana wasimamia haki ndo hao hao wavunja haki na tunaendelea kuwakumbatia.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hata madereva wakati mwingine wana kiburi hasa njia ya kaskazini
   
 6. K

  Kicheche Member

  #6
  Sep 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Acha kutetea upumbavu kiburi cha dereva hakimuhalalishii askari kufanya fujo na kusababisha madhara makubwa kama hayo.
   
 7. K

  Kicheche Member

  #7
  Sep 4, 2009
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Acha kutetea upumbavu kiburi cha dereva hakimuhalalishii askari kufanya fujo na kusababisha madhara makubwa kama hayo.
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  So unataka kujustify huo uharamia?
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Na sisi tuwe na independent police complaints commission (ipcc) kama waingereza labda.........
   
 10. S

  Sendeu Member

  #10
  Sep 4, 2009
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  askari wengi ni wavuta bangi kitendo alichofanya huyo afande ni cha kulaaniwa please sheria za jeshi zichukue mkondo wake
   
 11. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Haya mambo yanajitokeza sana, kwani wanajiona wao ndo wenye haki zote. Wakati mwengine wanaweza kukusimamisha na kukulazimisha uwapeleke watakako wao bila kufikiri kama ulikuwana shughuli zako, ukikataa basi ndo kibano kinaanza na penginepo unabambikizia kesi. HAWA ASKARI WA TZ WAMEKUWA KAMA OMBAOMBA WA LIFT. HIVI SEREKALI HAIJAWEKA UTARATIBU WA USAFIRI KUFANIKISHI MAJUKUMU YA HAWA WATU?
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,954
  Likes Received: 23,626
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani suluhisho la uharamia huu ni askari kulipa nauli. Huwa sipati jibu napojiuliza ni sababu gani zinazomfanya askari asilipe nauli wakati analipwa mshahara kama watanzania wegine. Mwanafunzi alipe mfanyakazi asilipe, how?? Askari huyo huyo anampa mwanaye nauli, yeye anapanda bure!! Nahisi kuchanganyikiwa na hii serikali yetu.
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  source mh? Ni sheria ipi imebadilisha hili?
   
 14. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kweli huo ni ujambazi. lazima waadhibiwe
   
 15. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwani kuna sheria inayokataza askari kulipa nauli au ndio uoga wa makonda kudai nauli?au labda ni ubabe wa askari?
   
 16. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni lazima sheria ichukue mkondo wake
   
 17. s

  siyajui Member

  #17
  Sep 4, 2009
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawa askari wanajua nidhamu na sheria za kazi zao?wanalinda usalama wa raia au wanalinda maslahi yao?inabidi sheria ifuate mkondo wake bila kuegemea upande mmoja
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,219
  Likes Received: 5,617
  Trophy Points: 280
  hatutaweza kuvumilia upuuzi kama huuu....baya zaidii askari wanaonyeshwa wako peace kama dk 2 zijazo wanaenda kumwona RAIS awaboreshe maisha yao.....
  ama ndio ile ATI FFU NI WALE VIPOFU WA SHULE YAANI DARASA LA SABA NDIO WANAMISHIWA KULE WAKAWE WAKATILI ZAIDI.....mmmmhhhh kazi ipo
   
 19. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ya ni kweli this "police acted stupidly", na lazima afuate mkondo wa akina Zombe na wenzake, kwani huo ndiyo utaratibu wa sheria.
   
 20. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nchi yetu nzuri sana hii, mwenye nguvu mpishe apite, ila na sisi sijui tunajua sana sheria au upole mimi hata sielewi, kwanini abiria wasingemkamata huyo askari nao wamchape na kumpeleka polisi? Hata kama angeachiwa na polisi wenzie lakini angalau abiria wangekuwa wamefanya jukumu lao. Nadhani baadhi ya abiria walikuwa wanacheka ukute!
   
Loading...