FFU wamezunguka Ikulu. Kuna tishio la kuvamia Ikulu?

Status
Not open for further replies.
Unataka kuniambia hakuna public policy yoyote inayokuwa influenced na imani za kidini za watu hata katika msingi wa kiutamaduni kama si kiimani?

Hivi kweli unadhani hao uamsho type wanataka wahesabiwe ili kuweza ku influence public policy?
 
Mie siongelei watu wasiotaka ku-influence public policy.

Na hatwezi kujua nia ya uamsho kwa uhakika mpaka tuwape hizo official figures.

Kama wana nia mbaya, tutaona, na serikali itakuwa justified tutakubali itumie manyota yote ya kiserikali.

Lakini huwezi kuanza kubashiri, hata watu hawajafanya fujo, kwamba hawa tukiwahesabu watafanya fujo.

Watafanya fujo kabla ya kuhesabiwa kwa kisingizio kwamba hawajahesabiwa, na kufanya kwamba hata kama ni kweli walikuwa wanataka kufanya fujo anyway, serikali itakosa legitimacy ya kuwashughulikia squarely.

Huwezi kuhukumu kabla kosa halijafanyika.
 
Unajua sehemu yenye joto kubwa tayari na vitu vinavyoweza kuwaka moto, hata ukisugua chuma tu, cheche zinaweza kuwasha moto.

Haya mambo ya sensa na nini kama maisha yangekuwa mazuri kidogo tu watu wasingeshiriki sana kuyapinga, lakini sasa hivi huhitaji hata kuwahubiria sana watu wajiunge na maandamano ya kuipinga serikali, kwa sababu serikali yenyewe inaonekana haijali wananchi na haitumii akili.

Hivi serikali ingekubali hilo swali la dini kwenye sensa hawa waliodai wangefanya nini baada ya kuhesabiwa na kuambiwa waislamu wako asilimia fulani?

wange pata hayo majibu ya asilimia ngapi wapo, kwanza wangeenda kulipuwa necta, halafu ofisi za sensa nazo zingeharibiwa, halafu propaganda za redio chuki zingeongezeka, kwa kuweka hesabu na mtu moja wake 4 na vijiji vitatu, na wanaanza wakiwa na miaka 16, tofauti na wale wanaokwenda chuo kikuu, kwani wao wanaanza wakiwa na miaka 30, bila kuangalia adha zingine za kimaisha
 
Watu wanahukumu kwa sababu hizi chokochoko hazijaanza leo. Wengi tumeshazisikia. So it's not like we are that stupid to not know what they are up to with this....

Ni kwamba tu sasa hivi wamepata ujasiri zaidi. Kwa hiyo tusiwe naive kiasi cha kujifanya hatujawahi kuwasikia huko nyuma.

Tuna rais Muislam, makamu wake naye hivyo hivyo. Na makamu wote wawili wa serikali ya awamu ya tatu nao walikuwa Waislam. Kuna mawaziri wangapi ambao ni waumini wa dini hiyo?

Sasa ni nini hasa wanachokitaka hao jamaa kama siyo kuleta vurugu tu?

I'll be disappointed if the government kowtows to their demands.
 
Definition yako mwenyewe ya encarta inakusuta, unajua maana ya neno "characteristics"?

Kuna wengine hawashawishiki kwani hawana capacity ya kuelewa vya kutosha kuweza kushawishika.

Kama suala la dini si muhimu katika uzazi wa mpango/ vita dhidi ya UKIMWI kwa nini secular people are up in arms against the RC church's "no condom" policy?

Kwa nini serikali ina solicit msaada wa viongozi wa kidini?

Unataka kuniambia hakuna public policy yoyote inayokuwa influenced na imani za kidini za watu hata katika msingi wa kiutamaduni kama si kiimani?

Inawezekana tukawa tunazungumza vitu viwili tofauti na uelewa tofauti. Je unaelewa maana ya sensa na makusudi yake? Maana tusibishane tu for the sake ya kuonyesha nani ana wingi wa vocabularies.
Masuala ya uzazi wa mpango kipengele cha dini hakikuwekwa pale ili kubagua waislamu na wakristo na hata kisipokuwapo hakifanyi dawa kupungua katika hospitali lakini usipohesabiwa unaweza ukasababisha dawa kuwa pungufu hospitali kama dawa au huduma italetwa kufuatana na idadi ya watu. Kipengele cha msingi hapa ni sex (F/M)

Suala la kondomu ni suala la uzazi wa mpango na kuzuia ukimwi kwa wanaohangaika na uzinzi hivyo halina fungamano na dini yoyote kwa kuwa hakuna dini inayokubali uzinzi. Kupitia data hiyo huwezi kuwahukumu waislamu au wakristo kwamba nyie dini fulani mnaendekeza uzinzi sana. Hivyo hata kwenye kadi au dodoso za afya zinapaswa kuondolewa sio data ya msingi ni mawazo ya kibaguzi tu hayo.
 
Niambie wewe maana ya sensa na makusudi yake nini.
 
wange pata hayo majibu ya asilimia ngapi wapo, kwanza wangeenda kulipuwa necta, halafu ofisi za sensa nazo zingeharibiwa, halafu propaganda za redio chuki zingeongezeka, kwa kuweka hesabu na mtu moja wake 4 na vijiji vitatu, na wanaanza wakiwa na miaka 16, tofauti na wale wanaokwenda chuo kikuu, kwani wao wanaanza wakiwa na miaka 30, bila kuangalia adha zingine za kimaisha

Sasa mpaka wanalipua NECTA serikali iko wapi?

Hapo ndo serikali ingepata justification ya ku deal nao squarely.

Sasa hivi serikali ime squander that opportunity kama kweli ndo wana nia hiyo.
 
Watu wanahukumu kwa sababu hizi chokochoko hazijaanza leo. Wengi tumeshazisikia. So it's not like we are that stupid to not know what they are up to with this....

Ni kwamba tu sasa hivi wamepata ujasiri zaidi. Kwa hiyo tusiwe naive kiasi cha kujifanya hatujawahi kuwasikia huko nyuma.

Tuna rais Muislam, makamu wake naye hivyo hivyo. Na makamu wote wawili wa serikali ya awamu ya tatu nao walikuwa Waislam. Kuna mawaziri wangapi ambao ni waumini wa dini hiyo?

Sasa ni nini hasa wanachokitaka hao jamaa kama siyo kuleta vurugu tu?

I'll be disappointed if the government kowtows to their demands.

Kama kweli hawa watu wanataka sababu ya ushari, the government has already kowtowed to their desires.

Kama mimi nataka kuleta fujo, nitakuwa naombea serikali isiruhusu swali la dini ili nipate sababu ya kufanya fujo.

Kama serikali ilikuwa haitaki kuwapa mwanya wa kufanya fujo ingewakubalia kuweka swali la dini, anayetaka ajaze.

Hapo sasa kisingizio hicho kisingekuwepo, ingewabidi waje na kingine kama wanataka fujo, na dunia nzima ingejua kwamba hawa watu hawana shida na sensa wala nini, wanataka fujo tu.

Lakini kwa sasasa kinachoonekana - hata kama si kweli- ni kwamba waislamu wanataka kuhesabiwa katika sensa rasmi na serikali inaogopa kufanya hivyo.

Serikali inawapa nguvu wasizonazo, na watu wengine watawapa sympathy kama victims wa ubabe wa serikali.
 
Unajua sehemu yenye joto kubwa tayari na vitu vinavyoweza kuwaka moto, hata ukisugua chuma tu, cheche zinaweza kuwasha moto.

Haya mambo ya sensa na nini kama maisha yangekuwa mazuri kidogo tu watu wasingeshiriki sana kuyapinga, lakini sasa hivi huhitaji hata kuwahubiria sana watu wajiunge na maandamano ya kuipinga serikali, kwa sababu serikali yenyewe inaonekana haijali wananchi na haitumii akili.

Hivi serikali ingekubali hilo swali la dini kwenye sensa hawa waliodai wangefanya nini baada ya kuhesabiwa na kuambiwa waislamu wako asilimia fulani?

Wangejua "Abuja declaration" ya mwaka 1989 imefanikiwa kwa kiasi gani na waongeze kasi kwa namna gani.
 
mmh, hatuwezi jaribu kina cha mto kwa kuweka mguu.

Wajihesabu wao.
 
Suala la kondomu ni suala la uzazi wa mpango na kuzuia ukimwi kwa wanaohangaika na uzinzi hivyo halina fungamano na dini yoyote kwa kuwa hakuna dini inayokubali uzinzi. Kupitia data hiyo huwezi kuwahukumu waislamu au wakristo kwamba nyie dini fulani mnaendekeza uzinzi sana. Hivyo hata kwenye kadi au dodoso za afya zinapaswa kuondolewa sio data ya msingi ni mawazo ya kibaguzi tu hayo.

I am afraid you do not have the capacity to argue this case.

1. Huelewi kwamba kuna dini za asili nyingi sana zinazochochea ngono zembe, I wouldn't be surprised kuona kwako wewe "dini" ni ukristo na uislamu tu.Ndiyo maana hata mfano wako unaongelea "waislamu na wakristo" wakati up to a third of our population could be affiliated with traditional beliefs.

2.Umekazania kuhusisha dini na ubaguzi hata baada ya kupewa mfano wa jinsi gani demographics za dini zinavyoweza kutumika na wasomi ku influence public policy positively.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom