Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
Wewe hakika ni kiranga. Hivi kipengele cha kidini kinatusaidia nini zaidi ya ndoto za alinacha za kufikiri kwamba idadi ikionyesha waislamu ni wengi siku moja nchi hii itakuwa ya kiislamu!!!!!!!!!!!!!! Kama mnataka idadi ya waislamu kwa sababu tofauti na niliyokueleza, kaitafuteni misikitini na kwenye taasisi zenu za kiislamu. Hii nchi haijawahi kuwa, haiwi na haitakaa iwe ya kiislamu mpaka Yesu atakaporudi.
Serikali haina dini na mimi napinga kuuliza wananchi kuhusu imani zao za kidini.
Ila wakiweke tu hicho kipengele ila kiwe optional. Kwisha habari yake.