FFU Kumburuza Mwanafunzi anayevuja damu nyingi kwenye karandinga Je ni halali

Maisha bora kwa kila mtanzania?

Of course kwa sababu hakuna manung'uniko, wanafunzi wote wanasoma tena kwa KULIPIWA na serikali, askari WANAJALI haki za binadamu, wagonjwa WOTE mahututi wanapelekwa india na kero ya rushwa ishakuwa HISTORIA nchini mwetu. Kwa ufupi Tanzania ni kisiwa cha amani. Tumeweza, tumethubutu na tunazidi kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom