FFS- Wabunge wa Tanzania (waafrika) ndivyo walivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFS- Wabunge wa Tanzania (waafrika) ndivyo walivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwafrika, Jun 19, 2009.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  ohhh For Frack Sake (FFS)... yameishia wapi matisho na lenge lenge za wabunge kuwa watakwamisha bajeti?

  Well... leo ni ijumaa, wakati ambapo:

  1. Inadaiwa kuwa mmiliki wa ze utamu amekamatwa

  Yafuatayo bado ni .... ohh FFS.....

  1. Mhusika wa Kagoda hajulikani
  2. Wahusika wa meremeta hawajulikani
  3. Wizi (kupitia ununuzi wa rada) bado ni kitendawili
  4. Richmond/Dowans
  5. TICTS ohhh FFS (whatever the name)
  6. Wizi kupitia ujenzi wa BOT bado ... ohh Noni yuko wapi?
  7. IPTL bado iko tu... na inapeta kama kawa
  8. Buzwagi ..... kimya?
  9. Wizi wa BoT sio EPA pekee... usalama wa taifa wako bize na zeutamu


  na bado

  10. Benki ya TIB inayoongozwa na NONI - itapewa Trilion 1.

  ohh FFS
   
 2. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Jf , home of great thinkers indeed !! - halafu tunakubali kufungwa bao la kisigino. Wakati tumejikita kwenye hadithi za Ze Utamu, fimbo mchawi anafanya vitu vyake. Tumekosa hata muda wa kufuatilia wananchi wa Iran wanavyoicharukia utawala wa kiimla. Tupo chumbani twaangalia "porno" kumbe huku nje bunge mfu linafanya kufuru kupitisha bajeti ya kifisadi.
  Bongo hadi Ughaibuni ..tongotongo zile zile.
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mag3,

  Mambo mengine yanahuzunisha na kuchekesha sana (call me crazy). Habari zingine kama hiyo ya zeutamu haihitaji sayansi ya anga kujua kiini na sababu yake.

  Kuondoa mtizamo wa wabunge toka kwenye Trilioni moja zilizotengwa kwa ajili ya TIB au milioni 500 kwa ajili ya vitafunwa vya Mkulo haikuhitaji FFU au MP wa jeshi.

  ohhh FFS
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jun 19, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Tumeambiwa raisi ni nembo ya taifa kwa hiyo haiwezi kuachwa akadhalilishwa. Wata employ every resource at their disposal kumsaka huyo mhalifu. Hiyo ndo logic ya wasomi wa bongo...
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Na wananchi ni nembo ya nani? si unajua wote tuna haki sawa? ndio sababu hupita kutuomba kura!
   
 6. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nami nakubaliana nao kuwa Raisi ni nembo ya taifa na kuwa sio vizuri akadhalilishwa. Lakini je, katika mambo yote yanayowaumiza watanzania leo hii, kuna haja ya kutumia nguvu zote hizi dhidi ya mhalifu huyu (huku wengine wakiendelea kupeta) tu?
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Poleni watanzania.
   
 8. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Ndivyo kweli ilivyo! Mambo muhimu hayajashughulikiwa tukapewa majibu. Lakini hili la kukamatwa kwa mmiliki wa ze utamu linatangazwa ili iweje? Tujue kuwa wanafanyakazi seriously kwa mambo yanayogusa mambo nyeti ya daraja fulani. Umma ungefurahi kutangaziwa mambo kibao kuwa yamepatiwa ufumbuzi au yapo katika hatua gani. Vipi kuhusu Kagoda?..No body knows????
  We are not serious.
   
 9. Smart

  Smart Member

  #9
  Jun 20, 2009
  Joined: Jan 16, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Jamani mimi ninajua na ninaiweza siasa kuliko jamii ya kitanzania inavofikiri.

  Sasa ninawapa habari mpya ya upinzani.

  CHADEMA katika kampeni zao za uchaguzi wa ubunge jimbo la Biharamulo Magharibi wanatumia propaganda za kuonewa na kushambuliwa katika harakati zao.

  Mimi kama mwanamapinduzi wa maendeleo ya jamii na mwanasayansi ya mazingira sipendezwi na mwenendo wa watanzania kushabikia wasichokijua.

  Bwana Mbasa kama mgombea kiti cha ubunge ni dakitari wa binadamu fani ambayo ni adimu duniani leo hii anataka kuwa mbunge maanayake aingie kwenye siasa.

  Binafsi sipendezewi na hali hiyo kwani jamii itakosa wataalamu wa kunusulisha maisha ya wanadamu na kufanya sote tukodolee milioni kumi na mbili kwa mwezi.....

  Hey Tanzanians open your eyes please, Let politicians fight for politics and we scientists fight for development.

  take care
   
 10. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wewe mwanamapinduzi wa maendeleo ya jamii na mwanasayansi ya mazingira, umetumwa na chi chi emu nini?
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ........too bad kuwa yanayopata publicity ni yale ambayo sisi walahoi tumeshikilia makali............
   
Loading...