FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

Prettyliar

Member
Jun 12, 2013
61
1
Jamani BBA mnaifwatilia.....Feza mapenzi sasa yaamia kwa Oneal baada ya kuona Elikem ni playboy....Nando naye kama kampotezea Dillish...
 
Mmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini
kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie fedha bila kujua jana angetia maguu Rubies! Back to Elikem, feza alishasema hawezi kudate mtu wa umri wa chini yake! Ndo kisa cha elikem kujiweka kwa Fatima! Ila mm naamini kama kweli anapenda basi roho yake iko kwa Feza! Si pokello wala fatima. Nando aliomba kwa dilish na mtt akatoa nje. Vikaisha peacefully. Hata kwenye presentation yake alisema hawezi kumchukia demu kwa kumnyima cookies zake!! All in all jana feza kaniboaaa! Ndo nn kujilewesha vile sasa? Yaani I waz big fan of her, alinifanya nibadiri mtazamo wangu juu ya mamiss wetu ila jana kanifanya nimtazame upya kabla sijampa support yangu kwa 100%! Eishh yaani hana soni kbs! Anaongea kupita kiasi, anafakamia mipombe utasema hajawahi kunywa?. Ilitakiwa jana asiingie hata kwa jaquzi! Anywe kiasi ili asome mazingira! Naamini oneal atakuwa amefadhaika sn, ukizingatia jmosi alivopanda palee juu na kucheza kama lap dancer!! Sidhani kama j3 atapona nomination for possible eviction.
 
Mmmmh....unanisikitisha hapo kwa feza sikuona hiyo.....ila leo nimewaona wame chill kwa lounge wanaongea fresh na oneal ku confess his love for her...basi inabidi ajirekebishe jamani...but all in all they make a lovely couple
 
Mmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini
kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie fedha bila kujua jana angetia maguu Rubies! Back to Elikem, feza alishasema hawezi kudate mtu wa umri wa chini yake! Ndo kisa cha elikem kujiweka kwa Fatima! Ila mm naamini kama kweli anapenda basi roho yake iko kwa Feza! Si pokello wala fatima. Nando aliomba kwa dilish na mtt akatoa nje. Vikaisha peacefully. Hata kwenye presentation yake alisema hawezi kumchukia demu kwa kumnyima cookies zake!! All in all jana feza kaniboaaa! Ndo nn kujilewesha vile sasa? Yaani I waz big fan of her, alinifanya nibadiri mtazamo wangu juu ya mamiss wetu ila jana kanifanya nimtazame upya kabla sijampa support yangu kwa 100%! Eishh yaani hana soni kbs! Anaongea kupita kiasi, anafakamia mipombe utasema hajawahi kunywa?. Ilitakiwa jana asiingie hata kwa jaquzi! Anywe kiasi ili asome mazingira! Naamini oneal atakuwa amefadhaika sn, ukizingatia jmosi alivopanda palee juu na kucheza kama lap dancer!! Sidhani kama j3 atapona nomination for possible eviction.

WTF did I just read ...
 
Naomba kuuliza hiv ile VIP membership unakua unaona scene gan za tofaut na hii ya kawaida cz nahis km hawa couples are havin more than wat we see...
 
Mmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie fedha bila kujua jana angetia maguu Rubies! Back to Elikem, feza alishasema hawezi kudate mtu wa umri wa chini yake! Ndo kisa cha elikem kujiweka kwa Fatima! Ila mm naamini kama kweli anapenda basi roho yake iko kwa Feza! Si pokello wala fatima. Nando aliomba kwa dilish na mtt akatoa nje. Vikaisha peacefully. Hata kwenye presentation yake alisema hawezi kumchukia demu kwa kumnyima cookies zake!! All in all jana feza kaniboaaa! Ndo nn kujilewesha vile sasa? Yaani I waz big fan of her, alinifanya nibadiri mtazamo wangu juu ya mamiss wetu ila jana kanifanya nimtazame upya kabla sijampa support yangu kwa 100%! Eishh yaani hana soni kbs! Anaongea kupita kiasi, anafakamia mipombe utasema hajawahi kunywa?. Ilitakiwa jana asiingie hata kwa jaquzi! Anywe kiasi ili asome mazingira! Naamini oneal atakuwa amefadhaika sn, ukizingatia jmosi alivopanda palee juu na kucheza kama lap dancer!! Sidhani kama j3 atapona nomination for possible eviction.
Labda n mbinu za kuonekana na watu na kubaki muda mrefu hata ile yake ya kuoga na hakeem
 
Naomba kuuliza hiv ile VIP membership unakua unaona scene gan za tofaut na hii ya kawaida cz nahis km hawa couples are havin more than wat we see...

Mwanzoni walikuwa wameweka uncut kwamba kama kudos iko live ila wametoa wamebakisha tu kuoga...najuuutaaaa dola 9 yangu, kwa sasa hakuna jipya zaidi ya kuona wakioga kitu ambacho kwangu mimi si kipya sana. May be wakirudisha mambo yetu yaleee ya kudos
 
Hahaha usinambie kumbe nothn mi walinambia kulipia mpka kwa crdt card nkaona mlolongo tena so which means watu wana do daily sema hatuonyeshwi.. Is it..??? Nliskia kina beverly na dilish wana wateta bolt and betty kua kila wakienda shawa wanapigana vitu
 
Hawajaweka, kulikuwa na clip 3 za betty na bolt wakila vitu ndani ya sjui ndo mnaita jakuzi au vipi (la kule bafuni), moja kwenye shower zingine ndani ya blanket....ila wamezitoa zote. Ka betty kanaonekana kana ny...g mshindo
 
Hahhahaaa....ni kweli betty na bolt wamesha do mara nyingi sana....angalia video yao kwenye blog ya mpekuzi wakiwa bafuni....loh
 
Yaan sio tu mshindo kale inaonesha zake ni ny..g mbinuko mi skapendi ni ivi kanavotupigia kura watanzania shwaini kbsa i bet betty and Motamma must leave Sunday.. Lile li bolt ka baba lenye nyumba kutwa kitambi waziiii na kuvaaa vaa mataulo tu ..mxiuuuuu!!!!!!!!!!!
 
Unajua nlikua nahisi tu i wsnt sure na nahisi km feza alivolala na oneal sku ya kwanza alitekenywa mana asubuhi kwenye nomination aliamka na chupi nyeupeeeee bas....!!!!!!! Nando ananiboa kitu kimoja mvivu sana matokeo yake anakua easy target....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wame do sana tu, hzo video walizoondoa alioneshwa hadi ametoa shuka yuko uchiiiiiii, moja walichange condom kama mara 3 hivi, ila ile ya kwenye bafu sidhani kama walitumia ndom. Betty anaweza kurudi na ujauzito hahahah
 
This evening it was almost unbearable how cute Feza and Oneal were together as they spent some quality time in the bedroom. The pair, who both had elephant animal headgear on, sat on opposite beds touching trunks; like two courting elephant calves. Aww, how adorable!

The pair chatted with each other about trust. The Tanzanian assured her new love interest that she has complete faith in him as a person. The pair also talked about what has attracted them to each other. “Most guys try too hard but you don’t, that’s why I like you,” Feza said.

But despite the Ruby twosome spending a lot of time together and clearly having great chemistry together; they have yet to make things official between them. Come on you two, what’s the hold up?
 
Yaan sio tu mshindo kale inaonesha zake ni ny..g mbinuko mi skapendi ni ivi kanavotupigia kura watanzania shwaini kbsa i bet betty and Motamma must leave Sunday.. Lile li bolt ka baba lenye nyumba kutwa kitambi waziiii na kuvaaa vaa mataulo tu ..mxiuuuuu!!!!!!!!!!!

Hahhaaaaaa.....unaniua mbavu jamani....yani unafikiri kama mimi bolt sijui yukoje ka libaba...the...sijui betty kapendea nini pale
 
Unajua nlikua nahisi tu i wsnt sure na nahisi km feza alivolala na oneal sku ya kwanza alitekenywa mana asubuhi kwenye nomination aliamka na chupi nyeupeeeee bas....!!!!!!! Nando ananiboa kitu kimoja mvivu sana matokeo yake anakua easy target....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yani nando mvivu sanaaaaaa.....kazi kukaa nakucheka cheka tu....ila najua week hii hatoki...sasa hapo kwa feza mmmh....I doubt kama anythin happened...nitatafuta hiyo clip
 
Hawajaweka, kulikuwa na clip 3 za betty na bolt wakila vitu ndani ya sjui ndo mnaita jakuzi au vipi (la kule bafuni), moja kwenye shower zingine ndani ya blanket....ila wamezitoa zote. Ka betty kanaonekana kana ny...g mshindo

Ka betty kana matatizo kale....hizo ny...g sijui anazitoa wapi...nakachukia kila siku kina mnominate feza wetu....bolt mwenyewe hamuheshimu wala hampendi kihivyo
 
Back
Top Bottom