Prettyliar
Member
- Jun 12, 2013
- 61
- 1
Jamani BBA mnaifwatilia.....Feza mapenzi sasa yaamia kwa Oneal baada ya kuona Elikem ni playboy....Nando naye kama kampotezea Dillish...
Mmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini
kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie fedha bila kujua jana angetia maguu Rubies! Back to Elikem, feza alishasema hawezi kudate mtu wa umri wa chini yake! Ndo kisa cha elikem kujiweka kwa Fatima! Ila mm naamini kama kweli anapenda basi roho yake iko kwa Feza! Si pokello wala fatima. Nando aliomba kwa dilish na mtt akatoa nje. Vikaisha peacefully. Hata kwenye presentation yake alisema hawezi kumchukia demu kwa kumnyima cookies zake!! All in all jana feza kaniboaaa! Ndo nn kujilewesha vile sasa? Yaani I waz big fan of her, alinifanya nibadiri mtazamo wangu juu ya mamiss wetu ila jana kanifanya nimtazame upya kabla sijampa support yangu kwa 100%! Eishh yaani hana soni kbs! Anaongea kupita kiasi, anafakamia mipombe utasema hajawahi kunywa?. Ilitakiwa jana asiingie hata kwa jaquzi! Anywe kiasi ili asome mazingira! Naamini oneal atakuwa amefadhaika sn, ukizingatia jmosi alivopanda palee juu na kucheza kama lap dancer!! Sidhani kama j3 atapona nomination for possible eviction.

Naomba kuuliza hiv ile VIP membership unakua unaona scene gan za tofaut na hii ya kawaida cz nahis km hawa couples are havin more than wat we see...
Labda n mbinu za kuonekana na watu na kubaki muda mrefu hata ile yake ya kuoga na hakeemMmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie fedha bila kujua jana angetia maguu Rubies! Back to Elikem, feza alishasema hawezi kudate mtu wa umri wa chini yake! Ndo kisa cha elikem kujiweka kwa Fatima! Ila mm naamini kama kweli anapenda basi roho yake iko kwa Feza! Si pokello wala fatima. Nando aliomba kwa dilish na mtt akatoa nje. Vikaisha peacefully. Hata kwenye presentation yake alisema hawezi kumchukia demu kwa kumnyima cookies zake!! All in all jana feza kaniboaaa! Ndo nn kujilewesha vile sasa? Yaani I waz big fan of her, alinifanya nibadiri mtazamo wangu juu ya mamiss wetu ila jana kanifanya nimtazame upya kabla sijampa support yangu kwa 100%! Eishh yaani hana soni kbs! Anaongea kupita kiasi, anafakamia mipombe utasema hajawahi kunywa?. Ilitakiwa jana asiingie hata kwa jaquzi! Anywe kiasi ili asome mazingira! Naamini oneal atakuwa amefadhaika sn, ukizingatia jmosi alivopanda palee juu na kucheza kama lap dancer!! Sidhani kama j3 atapona nomination for possible eviction.
Naomba kuuliza hiv ile VIP membership unakua unaona scene gan za tofaut na hii ya kawaida cz nahis km hawa couples are havin more than wat we see...
Mwanzoni walikuwa wameweka uncut kwamba kama kudos iko live ila wametoa wamebakisha tu kuoga...najuuutaaaa dola 9 yangu, kwa sasa hakuna jipya zaidi ya kuona wakioga kitu ambacho kwangu mimi si kipya sana. May be wakirudisha mambo yetu yaleee ya kudos
Hahaha usinambie kumbe nothn mi walinambia kulipia mpka kwa crdt card nkaona mlolongo tena so which means watu wana do daily sema hatuonyeshwi.. Is it..??? Nliskia kina beverly na dilish wana wateta bolt and betty kua kila wakienda shawa wanapigana vitu

Hawajaweka, kulikuwa na clip 3 za betty na bolt wakila vitu ndani ya sjui ndo mnaita jakuzi au vipi (la kule bafuni), moja kwenye shower zingine ndani ya blanket....ila wamezitoa zote. Ka betty kanaonekana kana ny...g mshindo
Hahhahaaa....ni kweli betty na bolt wamesha do mara nyingi sana....angalia video yao kwenye blog ya mpekuzi wakiwa bafuni....loh
Yaan sio tu mshindo kale inaonesha zake ni ny..g mbinuko mi skapendi ni ivi kanavotupigia kura watanzania shwaini kbsa i bet betty and Motamma must leave Sunday.. Lile li bolt ka baba lenye nyumba kutwa kitambi waziiii na kuvaaa vaa mataulo tu ..mxiuuuuu!!!!!!!!!!!

Unajua nlikua nahisi tu i wsnt sure na nahisi km feza alivolala na oneal sku ya kwanza alitekenywa mana asubuhi kwenye nomination aliamka na chupi nyeupeeeee bas....!!!!!!! Nando ananiboa kitu kimoja mvivu sana matokeo yake anakua easy target....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!