Few weeks back, he was the best Minister for health in the world, now he is the worst

Kenya propaganda ndio nyingi..Eti hadi Newyork Times sijui Washington post wakamsifia huyu mwizi wa Covid
Kwakweli nimetembelea na kuishi nchi kadhaa duniani, ila wakenya nimewadharau Sana, wakenya na wazaire wanafanana Sana.

Kawaida binadamu anapaswa kufikiria kabla ya kuzungumza, wakenya huzungunza kwanza, baadae ndio hufikiria, Kenya ni vituko na hovyo Sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
jamaa alikua anapika takwimu,utamsikia kuna watanzania 100 wamekutwa na corona,hapo ndipo alipoanza kujimaliza
laana itamtafuna mpaka kaburini
 
Kenya ni nchi tajiri kuliko Tanzania.
Obama anahusiana na Kenya.
Lupita anahusiana na Kenya.
GDP ya Kenya inashinda ya Tanzania.
Kenya ina wakimbiaji wazuri kuliko Tanzania.
Kenya inaexport zaidi ya Tanzania.
Bajeti ya Kenya ni kubwa kuliko ya tz Uganda na Rwanda combined.
Bajeti ya Kenya military ni kubwa mara tatu ya Tanzania.
Nairobi university ni number one East Africa.
Tanzania ina watu wengi kuliko Kenya.
 
Bajeti lazima iwe kubwa maana kuna wapiga dili wengi...ela yote inaishia mifukoni mwa wajanja huku kibera tunalia njaa kila kukichwa
Kibera ni sehemu ndogo sana Nairobi..hebu nenda katazame..kwenye Google maps ujionee...
Halafu ukiitazama dar kwa Google map utajionea 99% ya daresalaam inakaa kama kibera.. yaani jiji lote ni slam ndo maana huwa hamuoni tofauti
 
Ukitaka ukweli usio kuwa na doa..nenda kwa msema kweli Google maps ujionee kenya ilivyo piga hatua.. acha porojo aisee.
Halafu ukisha malizana na Kenya utazame tz yenu sasa ujione aibu aisee hapo kazi tu
 
Back
Top Bottom