Feshen Shoo za kibongo:USELESS

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
is this the best these pple can do? nasema kuanzia backgroung music to arrangement na tazama watu walivyokaa kihasara hasara eidha watu waqmechoka sana au ndio hakuna ma A LISTERS huko Dar

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=W1biwnTgNsI&feature=player_embedded[/ame]

Apparently these guys have one thing in common: (insert your guess here)

ALLY rehemtulla

MUSTAFA hassan-ally

ASIA-idraus

KHADIJAH-mwanamboka

zaidi ya hayo hivi hakuna calendar ya hii shughuli yao? halafu mbona HAKI NGOWI sioni akifanya shows kama hili kundi hapo juu?

Ndio maana nasema bora aje mgeni au wageni toka nje waje kuraise the BAR! maana the lot hapo juuu wanachokifanya ni utumbo mtupu!

you know what i mean

ohhh BTW:

KHADIJA needs to something on that WEIGHT thingy! she looks ridiculous najua katika kujifungua lakini gosh!!! akifanya maskhara she will come across as a whale (no pun intended)
 
is this the best these pple can do? nasema kuanzia backgroung music to arrangement na tazama watu walivyokaa kihasara hasara eidha watu waqmechoka sana au ndio hakuna ma A LISTERS huko Dar

You are not serious,are you.........?

Apparently these guys have one thing in common: (insert your guess here)

ALLY rehemtulla

MUSTAFA hassan-ally

ASIA-idraus

KHADIJAH-mwanamboka

zaidi ya hayo hivi hakuna calendar ya hii shughuli yao? halafu mbona HAKI NGOWI sioni akifanya shows kama hili kundi hapo juu?
 
i have to agree with u in this one....below PAR! .....hao models hata ku catwalk hawajui uzuri! aibu
 
G.T. ulikwenda kwenye hiyo fashion show au uliangalia kwenye luninga toka Bunbuli? Nasikia mnapata taabu kweli kweli kumuuza January; wasambaa wanamtaka Shelukindo wao, wanasema usanii wa baba January unawatosha hawadanganyiki tena!!!
 
is this the best these pple can do? nasema kuanzia backgroung music to arrangement na tazama watu walivyokaa kihasara hasara eidha watu waqmechoka sana au ndio hakuna ma A LISTERS huko Dar

http://www.youtube.com/watch?v=W1biwnTgNsI&feature=player_embedded

Apparently these guys have one thing in common: (insert your guess here)

ALLY rehemtulla

MUSTAFA hassan-ally

ASIA-idraus

KHADIJAH-mwanamboka

zaidi ya hayo hivi hakuna calendar ya hii shughuli yao? halafu mbona HAKI NGOWI sioni akifanya shows kama hili kundi hapo juu?

Ndio maana nasema bora aje mgeni au wageni toka nje waje kuraise the BAR! maana the lot hapo juuu wanachokifanya ni utumbo mtupu!

you know what i mean

ohhh BTW:

KHADIJA needs to something on that WEIGHT thingy! she looks ridiculous najua katika kujifungua lakini gosh!!! akifanya maskhara she will come across as a whale (no pun intended)

Apparrently,GT naomba clarification on the bolded lines,what those guys have in common???
 
GT,

Kuhusu watu na mikao yao, kama hizo ndizo style za kibongo je? Unataka ku impose mpaka western poses?

Kuna sehemu nyingine kumuangalia mtu machoni ni kumuonyesha heshima na attention na usipomuangalia utaonekana kama unaficha kitu, sehemu nyingine mtu anaweza asikuangalie machoni kwa sababu anakuheshimu. Usichanganye culture ya sehemu moja na nyingine.

OK, we have a challenge of integrating a western oriented fashion show with uniquely Tanzanian idiosyncrasies. The result is neither Tanzanian, nor western.

OK, the stage could have used some more designing and artful decorating.

OK, the cameraman is focusing on the audience for a ridiculously long time before focusing on the stage.

OK, the catwalk is unconvincingly mediocre. I bet they think an over-confident power catwalk is unTanzanian, the whole thing is unTanzanian if you ask me, so ukitaka kula nguruwe chagua mnono. Heri shari kamili kuliko nusu shari. Just do the damn thing and quit half-stepping girls.

OK, the music could have been better - and by that I don't mean western- and more in sync with the pace of the models.

OK, it sounds like the sound system could have used a bit more of sound check. Wabongo mara nyingi hatujui effective sound check.Nakumbuka nilienda Diamond kuangalia a reggae concert (I believe it was either Everton Blender or Vybz Kartel) sasa wabongo wakaleta vyombo vyao, wakawa wanachachawa kwamba vyombo vibovu, walivyokuja wa-Jamaica wakafanya fine tuning hapo wakapiga bonge la concert.Kumbe vyombo si vibovu wala nini, wenye vyombo wenyewe hawavijulii vyombo vyao. It is hard to tell from the clip (it could be the camera position or quality too) but the live band sound distorted / poor.

In any case I am not entirely sure that having the live band and the fashion show going on at the same time is such a good idea, I mean it is not like taarab or a philharmonic symphony orchestra, it is a distracting live band and the band certainly does not accessorize the model, one has to wonder if he is at a live band show that happens to have some fashion models or a fashion show that has a live band.

Maybe we should launch a multi discipline consultancy :) .
 
is this the best these pple can do? nasema kuanzia backgroung music to arrangement na tazama watu walivyokaa kihasara hasara eidha watu waqmechoka sana au ndio hakuna ma A LISTERS huko Dar

http://www.youtube.com/watch?v=W1biwnTgNsI&feature=player_embedded

Apparently these guys have one thing in common: (insert your guess here)

ALLY rehemtulla

MUSTAFA hassan-ally

ASIA-idraus

KHADIJAH-mwanamboka

zaidi ya hayo hivi hakuna calendar ya hii shughuli yao? halafu mbona HAKI NGOWI sioni akifanya shows kama hili kundi hapo juu?

Ndio maana nasema bora aje mgeni au wageni toka nje waje kuraise the BAR! maana the lot hapo juuu wanachokifanya ni utumbo mtupu!

you know what i mean

ohhh BTW:

KHADIJA needs to something on that WEIGHT thingy! she looks ridiculous najua katika kujifungua lakini gosh!!! akifanya maskhara she will come across as a whale (no pun intended)

They have Islamic names but not necessary true moslems

Mungu wangu!GT hii ni kweli au huyu anajaribu kukusemea?kama na wewe maana yako ndio hiyo basi,'hamna kitu'
 
huyu nae sometimes mambo yake mbona wamejitahidi tu apart from huyo jamaa aliekua anaimba labamba labamba hapo mwisho mwisho. Na halafu huyu camera man baada ya kutuonyehsa ma modo anaende kutuonyesha waalikwa nilijua ntamuona Myler Nyangassa at work.
 
GT,

Nilitaka kukushambulia. Ila nilipoiangalia hii VIDEO, sikuwa na la kusema ila kukubaliana na wewe. Humo ndani kila kitu kimekaa kihasarahasara. Hata hii video kwa kweli imekaa kama vile mtoto anapiga kwa kutumia mobile phone. Sijui kama ndiyo last product au mtu alikuwa anapiga kwa kumbukumbu yake.

Ameniuwa yule dada anayepuliza Tarumbeta na mchupa wa bia ya REDDS. Dada wee, bila aibu na tena unasubiri camera ije na wewe tarumbeta juu. Hivi hao Kempinksi wanawapa watu bia kwenye chupa jamani, hamna glass hapo? Mwandaaji anaruhusu vipi show yake watu wanywe kwenye Machupa?

Watu wamechoka kweli kweli. Kuanzia waonyeshaji hadi waangaliaji. Ila kwa Dar kwa sasa mtu usilaumu sana maana kutoka Tegeta hadi ufike Kilimanjaro Hotel inabidi kama masaa matatu hivi. Ukifika unakuwa umechokaaa na hapo weka fikira za kurudi nyumbani masaa mawili mengine.
 
well,

mpigapicha ni MICHUZI BLOG
Mkuu nafkili mpigapicha ni Ankal wa Michuzi Mega Productions hahahhaa anyways Kiranga amejitahidi kuelezea mapungufu machache ila kwakweli show hii ina mapungufu zaidi ya 50. Hivi wadau huo wimbo wa kwanza mwanzoni mwa video hii mmeusikiliza vizuri hahaha bongo kweli tambalale!!!!
 
well,

mpigapicha ni MICHUZI BLOG

Hii show ilikuwa kama hawa jamaa wakiimba ule wimbo maarufu wa Giuseppe Fortunino Francesco Verdi uitwao Nabucco 'Va Pensiero'. Huu wimbo ni sawa na wimbo wa Boney-M wa by the river of Babylon kwani zote zilikuwa zinaimbwa na Watumwa . Hawa jamaa na hao waangaliaji/waonyeshaji, wote wamechoka kama waimbaji hawa chini.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=4BZSqtqr8Qk&feature=related[/ame]
 
Back
Top Bottom