Feruoz vs Tundamani, nani mkali wa muziki wa kulialia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Feruoz vs Tundamani, nani mkali wa muziki wa kulialia?

Discussion in 'Entertainment' started by Ziroseventytwo, Nov 26, 2011.

 1. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,523
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Hi! Jf,kati ya ferouz,na Tundamani nani mkali wa ngoma za kulialia? Ferouz amelia ngoma kibao,tangu DazNundaz,mpaka alipatoka kivyake..msikie Tunda anavyolia pale Tiptop connetion, akishirikishwa,hata track zake mwenyewe jamaa analialia. Nani mkali? Tunda? Feruoz?
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkali kwani anabweka?
  Wote wanaimba vizuri.
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  ferooz a.k.a Ferarri yuko juu zaidi ya Tundaman.
  Msifanye mchezo na Ferouz jamani.
  Anzia Kamanda, maji ya shingi, nipe tano, bosi, starehe na nyingine nyingi...

  Ferouz alishawahi kuwafunika TMK ktk nyimbo ya Twenzetu, kiasi kwamba Chenge, Temba na wengine woote wakaingia chaka.
  Alipiga chorus inayosema...
  Chorus:
  Mapini ya kufunika
  Warembo walioumbika
  Njoo hata kama wewe huna Dusko
  Wale wa kutoa chicha
  Masela wa chaukucha
  nao wapandisha mizuka pia tupo

  Twende tukaruke kwanja
  Masela wote watakuwa kiwanja
  Twende tukaruke kwanja
  Majita wote tutakuwa kiwanja
   
 4. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  msikilize kwenye kamanda anakwambia:
  Siku mapigo yangu ya moyoyo mwisho yatapofumba,
  Mwili utazima mfano wa nyota inapodondoka
  Sitaweza kuamka tena macho yangu yanapofunga
  Safari imewadia naenda kwa Baba Muumba
  Maasera nawaachia usia, muwaambie ndugu na jamaa wapunguze kulia,
  Sote tutakwenda bali mimi ninatangulia, duniani sio makazi yangu teena,
  Ombeni kwa mola anilaze peponi kweema,
  Hamtaniona tena milele, nawaachieni maajonzi tele, duriani naaga na nakata kauli, roho yangu inatolewa na Israel, yoowe la uchungu litasikika, pale roho yangu itakapokuwa inatoka, vazi langu sanda nitakuwa nimevishwa, niko kwenye jeneza tayari kwenda kuzikwa, maautti pindi yataponika, ni nani atakaeliziba pengo hili..................
   
 5. M

  Misodos Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  Ferouz anatisha ww
   
 6. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Feruzi ni kama jf wewe
   
 7. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Bibi Kidude
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Feruzi yupo juu zaidi.
   
Loading...