Ferre gola -Maboko pamba: Msaada wa Tafsiri .

Mzalendowadamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
218
318
Nawasalimu nyote, lakini salamu aidi iwafikie nyote mlio wadau wa nyimbo toka Congo.
Ninaomba kwa yeyote anayejua Lingala anisaidie kujua Tafsiri au maana ya wimbo wa Ferre Goma -Maboko Pamba.
Wimbo huu ninupenda sana sana lakini ijui maana ya wimbo wenyewe. Tafadhali angalau nijue anaimba kuhusu nini.
watch
 

Attachments

  • FERRE GOLA-MABOKO PAMBA.mp4
    14.2 MB · Views: 59

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom