Ferouz ameendelea kutiririka kuelekea bondeni Mpaka Kafikia huku

Sasa kumwanika humu JF ndiyo kumsaidia? Hebu jaribu kufikiri vyema na umsaidie zaidi ya kumuaibisha na kumtweza utu wake. Grow up Mkuu!
Mi nadhani kumwanika hapa ni vizuri zaid ili watu ambao hawakujua alipo na anafanya nini wajue sasa. Kwa namna hii watu wengi wanaweza kujitolea kumsaidia

Itufae Shoe Shine
 
Back
Top Bottom