Fensi ya bunge iko barabarani, ipigwe x na kuvunjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fensi ya bunge iko barabarani, ipigwe x na kuvunjwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Smartboy, Mar 8, 2011.

 1. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fensi ya bunge mjini Dodoma iko barabarani tena karibu zaidi, kwa nini isivunjwe? Au sheria hapa zina semaje. Namshauri Magufuli aivunje ili hata wananchi wa Dodoma waone kuna ulazima wa kubomoa nyumba zao, sio kuonea masikini tu.
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....analyse kwanza uprove kuwa iko barabarani na inatakiwa kuvunjwa before saying ivunjwe!!!
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Aivunje na mkwara aliopigwa na kiranja mkuu?
   
 4. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  huyo kwisha habari yake, anataka kutumia bomoa bomoa nyumba za wananchi zimuingize ikulu 2015.
   
Loading...