Feni ndogo kwenye rejeta ya Toyota Noah ina kazi gani?

AC ukiwasha kwa kuzingusha tu, hapo unaweza usiipate AC, kama mtumiaji wa mwisho, aliibonyeza, alafu akazima kwa kuizingusha.

Hivyo ukisha izingusha bofya, kunakitaa kinawaka kuonyesha AC iko On.
ntafanya kama ulivyosema,alafu ntaleta mrejesho..
 
Inapaswa kuwaka, kama haiwaki basi ni mbovu...

Ila ngoja waje kukupa muongozo...
 
AC ukiwasha kwa kuzingusha tu, hapo unaweza usiipate AC, kama mtumiaji wa mwisho, aliibonyeza, alafu akazima kwa kuizingusha.

Hivyo ukisha izingusha bofya, kunakitaa kinawaka kuonyesha AC iko On.
nimewasha ac,na kubonyeza kile kitufe cha ac na kikawaka taa,nikaweka automatic,ikawa full lakini bado ile fan ndogo haikuwaka,na gari sijatumia imekaa home,na fan ilikuwa nzima,cjajua fuse yake na sehemu inapotoa voltage yake...
 
Back
Top Bottom