wakuu joto limekuwa kali sana uku kwetu mbagala... kuna fen nasikia unaweka maji then inatoa mvuke kama air condition.... naweza kupata wapi hizo feni na bei yake ikoje?
Zinapatikana Mlimani city pale Game, zipo za ujazo tofauti. Mimi nilinunua Logik mwaka jana mwanzoni badi ipo poa kabisa,ya lita 7.5. Bei ni kati ya 150-250. Upepo wake ni wa baridi kdg zaidi ya upepo wa feni ya kawaida ila ubaridi huo haufikii wa AC za kawaida.
Hiyo kali, tusubiri wenye data ikishindikana wape oda wachina huwezi kosa.
Hazina kitu, ni usanii tu.
Mwanza ni sh. 95,000/= karibu na vunja bei. Ni imara sana halafu hazina kelele.Zinapatikana madukani Zanzibar mtaa wa mchangani.Lakini hazina lolote.Ukiweka maji zinatoa mvuke fulani kama ukungu hivi.Lakini ni wizi mtupu take it from me.Ila zinadumu haziharibiki ovyo na nguvu yake ya feni kupuliza ni kubwa.Zinaitwa wtrr kama sikosei.
bei yake inaanzia laki 150 hadi 120 kutegemea na uwezo wako wa ku-bargain.Bei hizo ni za mwaka jana mwezi wa Tisa.
Mvuke upo mh. lakini si muangalie maeneo yenye baridi mkaishi wapendwa?! Mnapenda sifa kusema naishi Dar mkija mikoani huku mvua ikinyesha kariakoo sokisi zinajaa vinyesi tupu. Njoo rock city ushindie ugali kuanzia lunch hadi dinner ukiwa na Wagosha wa ukweli.na hiko kinachoitwa mvuke wa baridi ni kweli unatoka?
Sizitaki mbichi hizi...............!Hazina kitu, ni usanii tu.
Si bure unawaroga,nimekuona kwenye kioo cha manyaunyau.Zina 'kitu' mkuu, jirani yangu anazo mbili na mara kwa mara vitoto vyake vinapelekwa hospitali kwasababu ya kuugua pneumonia!
Mvuke upo mh. lakini si muangalie maeneo yenye baridi mkaishi wapendwa?! Mnapenda sifa kusema naishi Dar mkija mikoani huku mvua ikinyesha kariakoo sokisi zinajaa vinyesi tupu. Njoo rock city ushindie ugali kuanzia lunch hadi dinner ukiwa na Wagosha wa ukweli.