Edokay
Member
- Mar 8, 2017
- 25
- 32
Habari za Jumapili wapendwa?
Nimewaza sana juu ya tohara kwa wanawake zinazofanywa na baadhi ya jamii za Kiafrika ikiwemo Tanzania. Katika tafakari yangu, nimegundua kuwa inawezekana tohara kwa wanawake imetokana na mfumo dume kwenye hizo jamii, kwamba mwanamke afanyiwe hivyo ili asiwe na hamu ya kimapenzi na mwanamme mwingine.
Je, kwa wahanga wa hili suala nini malengo mahususi ya kukeketa wanawake?