Female and Men thoughts

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,052
The diagram demonstrates the THOUGHTS in a female and male brain during the simple question: "Shall we go for a party?"

attachment.php
 
Attachments

  • mawazo.jpg
    mawazo.jpg
    44.1 KB · Views: 176
Namshukuru MUNGU kwa jinsi nilivyo.Ila mmh hivi hapo kuna ukweli?

Ukweli upo tena sana. Na vitu vingine sijaviona (make ups, under-wears, perfumes etc). Ila pia ujue kuwa gharama yote inatuangukia sisi. Kama siyo kuhakikisha hivyo vyote viko home, basi hata kumshauri kipi kina-match na kipi au kusubiri (time wasting) ili vyote vipangiliwe vizuri etc. The gods must be crazy!!:confused::confused::confused:
 
kale kaglasi ka ulabu pale ndo kamenifurahisha sana.
Tunafikiriaga hiyo tu, na ofcoz yale mambo yetu yaleee, yanakujaga baada ya hako kaglasi...a very very excussable wrong doing ofcoz!!!!
 
Ka galss muhimu lakini nashukuru fikra zetu huwa ziko straight forward! Wa kwangu mie inadidi niongeze na gharama za umeme; hupiga pasi seti 4 mpaka tano tofauti! na huja kuivaaa moja bada ya kuwa zimejaribiwa zote! Sasa piga mahesabu mna mitoko minne kwa mwezi!:(
 
hahaaaaa so very true mkubwa!!!!
 
Namshukuru Mungu nimezaliwa Mwanaume na ninafikiri sana hii kitu.
beer.jpg

Bila hii usingizi hauji kabisaaaaaaa nawapongeza sana walio vumbua hii kitu Mungu uwabariki sana na uwaongezee maisha marefu waendelee kutupa raha na burudani ndani ya ubongo wangu. Mungu washushie neema na faraja wote wanao tumia hii kitu. Amina.
 
Hongera sana. Kuna watu wengine hawajawahi kugusa hiyo kitu. Ni wanaume pia na usingizi uko pale pale. In fwakti wanatafuta mahala pa kuuficha au kugawa!! Diversity ndiyo mwanzo na mwisho wa dunia:rolleyes:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom