Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
Thank god im a man.
Sina muda wa ku complicate mambo.
Namshukuru MUNGU kwa jinsi nilivyo.Ila mmh hivi hapo kuna ukweli?
Ka galss muhimu lakini nashukuru fikra zetu huwa ziko straight forward! Wa kwangu mie inadidi niongeze na gharama za umeme; hupiga pasi seti 4 mpaka tano tofauti! na huja kuivaaa moja bada ya kuwa zimejaribiwa zote! Sasa piga mahesabu mna mitoko minne kwa mwezi!
Namshukuru Mungu nimezaliwa Mwanaume na ninafikiri sana hii kitu.
Bila hii usingizi hauji kabisaaaaaaa nawapongeza sana walio vumbua hii kitu Mungu uwabariki sana na uwaongezee maisha marefu waendelee kutupa raha na burudani ndani ya ubongo wangu. Mungu washushie neema na faraja wote wanao tumia hii kitu. Amina.