bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Sawa umepika pilau lako umeweka kila aina ya viungo halafu unafika muda wa kula unagundua mtoto katia mafuta ya Taa ndani Ya Pilau.
Everton 1 Man utd 1 Magoli ya jioni yameendelea kutawala leo huku liverpool naye akifungwa goli la jion na kupoteza pointi zote tatu dhidi ya Bounermouth.
Napo pale Goodson park Everton naye kasawazisha dakika za Jioni baada ya fellaini kumchezea rafu mchezaji wa Everton na kuzawadiwa penalti iliyofungwa na Bainess.
Hiyo ndo Epl hakuna myongemyonge Pale.