Felix Swai - Mgombea ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Lupembe

Hata kama ni SWAI kwani nongwa ni nini? Ni Mtanzania huyu na Tume ya uchaguzi imempitisha
 
Bwana SWAI ana haki zote za kugombea endapa ni mtanzania ns anakidhi viwango vyote vya Tume ya uchaguzi.
 
sisiemu kazi yao kubwa ni kueneza ukabila udini na ukanda
.kuhusu wachaga kaa nao mbali jombaa...
nilikua moshi kikazi wiki iliyopita hawa jamaa ni noma..acha wawe proud na leader kila kila kona.
kwao vijijini wameshajitosheleza kwa kiasi flani.kwahiyo akili zao ziko focused zaidi kimaendeleo.hawafikirii njaa wala elimu au maendeleo ya majengo.
kwanini hao watu wasiwe na hitaji wa vitu vingine zaidi??
kama mleta mada alivyosema..kugombea ubunge huko sokwelamgambo sijui nininini..
najivunia iringa kwetu hatuna akili hizo zilizoshindwa
 
Back
Top Bottom