Uchaguzi 2020 Felix Mkosamali Mgombea Ubunge wa CHADEMA atangaza biashara ya uwakili kinyume cha Maadili ya Uwakili

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu

Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu

Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye mkutano wa hadhara kinyume cha maadili ya uwakili ambayo hayaruhusu kujitangaza kutafuta wateja

Huyu hapa msikie mwenyewe

92% foshoo dis yia
viva Magu
Hadi kufikia mwisho wa kampeni za uchaguzi mwaka huu, ni lazima maji mje kuyaita 'ma" kwa hoja za kijinga kama hizi. Si mlianza kusherehekea mapema kuwa upinzani umekufa? Endeleeni na sherehe zenu sasa.
 
Thubutu yao,upinzani hauwezi kufa.Ulikuwepo tangu enzi na enzi.
 
Umempromote mkomasamali badala ya babu yenu wa chatto leo polepole hakupi buku saba zako!
 
Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu

Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lisu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lisu anayepinga maendeleo ya vitu

Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya uwakili kwenye mkutano wa hadhara kinyume cha maadili ya uwakili ambayo hayaruhusu kujitangaza kutafuta wateja

Huyu hapa msikie mwenyewe

Back
Top Bottom