Felix Christopher Mrema

Mchungaji msamehe Mushi, nadhani amechanganyikiwa. Endelea kutushushia hivyo vitu vyako, wengine ndo kwanza wanaanza kuvisikia leo ingawa vilitokea zamani
 
Paulo hutengwa kwa kuwa mikono yake ni michafu, suala ni wale waliomtenga walikuwa wapi wakakaa kimya? Au Paulo baada ya kuwa mchafu alitoweka kabla ya wimbo kushika momentum?

Rev. umepatia kweli kweli, naposoma mistari yako hapa namsikiliza kwa mbali mzee Kenny Rogers mwenyewe, baadhi ya mistari yake inasema if you want to be a gambler:

You got to know when to hold em, know when to fold em,
Know when to walk away and know when to run.
You never count your money when youre sittin at the table.
Therell be time enough for countin when the dealins done.

Now evry gambler knows that the secret to survivin
Is knowin what to throw away and knowing what to keep.
cause evry hands a winner and evry hands a loser,
And the best that you can hope for is to die in your sleep.
 
Jasusi,

Alishaniita Fisadi, sasa Mkabila na Mdini, mwisho ataniita Shetani, nangojea kuota mkia na mapembe!

Pole Mchungaji,

Unanivunja mbavu sasa. Jf tumebarikiwa kwa kuwa na Wachungaji,Mashehe naamini wapo,pia wazee wa matambiko nk. Sasa Mchungaji ni muda muafaka wa kukemea mapepo wa jazba, Spirit of comfussion, selfishnes etc ili mambo hapa yawe swadakta.

Jmush,

Shimboni mmeku! Shida ni choiki Mangi,enda mbohaa mmeku!Mkuu sasa hapo utakua umemzushia mchungaji jambo,mkuu hapo umeharibu!
Ni kweli ulikua umechanganya kati ya Felix Mrema na Ephreum Mrema wa TANROADS

Halafu pia mkuu naamini wewe ni mtu wa kujenga hoja nzito na ni mpambambanaji makini lakini mzee vuta pumzi kidogo palipoharibika rekebisha.tufanye fair play.Sometimes ukikosea kweli mkuu kubali tu halafu mambo yatakuwa shwari

Btn

Sasa huyu Felix Mrema kwanini aliachwa kiulaini hivyo?Maanke IPTL ilitumaliza wakuu.
 
Mama,
Sema ASTAKAFILULAHI!!!

jamaa bakubaku na ukijaribu kumwambia ndio anazidisha vitimbwi, sijui ni ujeuri au kiburi au ni adolescence bado haijaisha? by the way sometimes makes the forum funny, unaweza ukacheka hadi asubuhi, ukijiuiliza maswali mengi yasiyo na majibu. Mwisho wa siku unamsamehe bure lakini husahau.
 
Pole Rev, sio wewe peke yako, wengine tuliitwa changudoa!!!!!!

Pole Mama,

Yaani hivi hivi tu!

Nilimwomba mchungaji akemee,na wazee wa dini za jadi wafanye matambiko halafu mambo ndio yatakua shwari
 
Hebu wenye data watupe. Felix Mrema anatajwa kupata Sh bilioni 47 kwa dhamana ya BoT kwa ajili ya biashara ya maua. Kwa sasa anatisha ana "vijisenti' ila inasemekana hizo fedha hazitarudi kama ambavyo nyingine zilizochukuliwa kwa aina hiyo hazijarudi hadi leo.
 
huyu mheshimiwa si ndio anasemekana ni best wa bwm?
au nimekosea?
 
Hebu wenye data watupe. Felix Mrema anatajwa kupata Sh bilioni 47 kwa dhamana ya BoT kwa ajili ya biashara ya maua. Kwa sasa anatisha ana "vijisenti' ila inasemekana hizo fedha hazitarudi kama ambavyo nyingine zilizochukuliwa kwa aina hiyo hazijarudi hadi leo.

Tina,

Hebu tumegee hizo, zilikuwa ni zile za CIS au kuna nyingine?

Maana najiuliza leo mfanyabiashara wa kawaida atapewaje dhamana na Benki ambayo kazi kuu ni kuidhamini Serikali?
 
Waungwana,

Sikutaka kuwajibu kuhusu nasaha zenu kuhusu JMushi, nilitaka niliache hili jambo life kimwa kimya. Lakini katika kusoma thread nyingine, nimekutana na maneno mengine ya JMushi ambayo yamenilazimu niwajibu maswali na maoni yenu hapa.

Sikuwa na nia ya kumshambulia Mushi au kumuonea. Nilimuomba kwa ustaarabu kabisa alipoleta mambo ya Mrema wa TANROADS hapa wakati suala ni Mrema Mbunge wa Arusha mjini na kumuambia si ajabu anachanganya mambo aangalie anachochangia.

Badala ya yeye kukubali kutafakari na kugundua kuwa kuwa alikosea kuleta hoja ambayo haihusiani na hii thread, akakimbilia kunizushia kuwa mimi ni Mdini na Mkabila na kwa maneno katikati ya mstari nawapiga vita Wachaga kwa kuwa mimi ni Msukuma. Hili aliliongezea kwa kuyaleta ya Yusuph Mushi.

Nikamhoji tena kwa ufafanuzi kama alisoma thread nzima na kuelewa kinachoongelewa na kumuomba tena aachane na tabia zake za kupandikiza mambo yasiyohusiana na thread alimradi kaona anaweza chomekea lake jambo.

Zaidi nikamuomba aonyeshe kwa ushahidi ni wapi nilipandikiza mbegu za Udini na Ukabila na kama hatakuwa na uwezo wa kuonyesha kwa jamii na umma anachonizushia, basi aniombe radhi pamoja na JAMII nzima kwa Uzushi na Uongo.

Anachofanya Mushi ni kuteka nyara hoja kwa kupandikiza hoja ambazo hazihusiani. Analifanya ama kwa Makusudi au bila kujijua na badala ya kufuata ushauri wa kumuasa aachane na hiyo tabia, hukimbilia kutuhumu kuwa watu wanamchukia na kumchongea kwa MODS ili afungiwe (rejea kauli kwenye thread ya MegaPyne kuhusu Kikwete) ambayo nainukuu hapa, na ni hili alilosema hapa lilonipelekea niwajibu wote kwa mpigo kuanzia Brutus, Mama, Mtu wa Pwani na wengine.

Naona hii ndiyo thread pekee nitakayoanza kuchangia kwani hata MEGAPAYNE MWENYEWE KANIKARIBISHA HAPA!
Ndugu zangu kuna watu wananichongea ili nifungiwe hapa kwasababu ya kitendo changu cha kupinga hoja za udini na ukabila!
Sasa nimepewa warning...Na mimi nimemwomba mod huyo anipe list ya watu ambao hawataki nichangie thread zao ili kuepuka kufungiwa...Na kwa hivyo basi...Kuna watu kama Mafuchila na Megapayne na wengineo ambao najuwa hawana noma nikichangia mijadala hii bila matusi wala kwenda personal!
Once again nashukuru MegaPAYNE kwa ukarimu wako na pia sasa ni muda wa kujiandaa na NONDOZ ili kieleweke!
Pia kama kuna yule asiyetaka nichangie kwenye thread yake naomba ani PM kabla ya kwenda kunichongea ili nifungiwe.

Nitawakumbusha moja, katika kanuni za JF, kuna vipengele vinavyozungumzia na kukataza anayoyafanya Mushi. Kuzushia na kuchomekea mambo katika thread alimradi mtu anachomeka apate ongezea posti.

Sasa kama nimefanya makosa kumhoji na kumuasa Mushi aache kuchanganya mambo, kuzusha, kusema uongo na zaidi kutenganisha hoja za hawa Mrema wawili wa TANROADS na Mbunge ambao hawahusiana kimjadala kwa njia moja au nyingine zaidi ya kuwa na jina moja na ni wa kabila moja, basi naomba Jamii inisamehe na Mushi mwenyewe anisamehe kwa kauli zangu kumuomba Mushi aache hii thread ya Mrema Mbunge ibakie kuwa ya Mrema Mbunge na si Mrema wa TANROADS.
 
Waungwana,

Sikutaka kuwajibu kuhusu nasaha zenu kuhusu JMushi, nilitaka niliache hili jambo life kimwa kimya. Lakini katika kusoma thread nyingine, nimekutana na maneno mengine ya JMushi ambayo yamenilazimu niwajibu maswali na maoni yenu hapa.

Sikuwa na nia ya kumshambulia Mushi au kumuonea. Nilimuomba kwa ustaarabu kabisa alipoleta mambo ya Mrema wa TANROADS hapa wakati suala ni Mrema Mbunge wa Arusha mjini na kumuambia si ajabu anachanganya mambo aangalie anachochangia.

Badala ya yeye kukubali kutafakari na kugundua kuwa kuwa alikosea kuleta hoja ambayo haihusiani na hii thread, akakimbilia kunizushia kuwa mimi ni Mdini na Mkabila na kwa maneno katikati ya mstari nawapiga vita Wachaga kwa kuwa mimi ni Msukuma. Hili aliliongezea kwa kuyaleta ya Yusuph Mushi.

Nikamhoji tena kwa ufafanuzi kama alisoma thread nzima na kuelewa kinachoongelewa na kumuomba tena aachane na tabia zake za kupandikiza mambo yasiyohusiana na thread alimradi kaona anaweza chomekea lake jambo.

Zaidi nikamuomba aonyeshe kwa ushahidi ni wapi nilipandikiza mbegu za Udini na Ukabila na kama hatakuwa na uwezo wa kuonyesha kwa jamii na umma anachonizushia, basi aniombe radhi pamoja na JAMII nzima kwa Uzushi na Uongo.

Anachofanya Mushi ni kuteka nyara hoja kwa kupandikiza hoja ambazo hazihusiani. Analifanya ama kwa Makusudi au bila kujijua na badala ya kufuata ushauri wa kumuasa aachane na hiyo tabia, hukimbilia kutuhumu kuwa watu wanamchukia na kumchongea kwa MODS ili afungiwe (rejea kauli kwenye thread ya MegaPyne kuhusu Kikwete) ambayo nainukuu hapa, na ni hili alilosema hapa lilonipelekea niwajibu wote kwa mpigo kuanzia Brutus, Mama, Mtu wa Pwani na wengine.

Nitawakumbusha moja, katika kanuni za JF, kuna vipengele vinavyozungumzia na kukataza anayoyafanya Mushi. Kuzushia na kuchomekea mambo katika thread alimradi mtu anachomeka apate ongezea posti.

Sasa kama nimefanya makosa kumhoji na kumuasa Mushi aache kuchanganya mambo, kuzusha, kusema uongo na zaidi kutenganisha hoja za hawa Mrema wawili wa TANROADS na Mbunge ambao hawahusiana kimjadala kwa njia moja au nyingine zaidi ya kuwa na jina moja na ni wa kabila moja, basi naomba Jamii inisamehe na Mushi mwenyewe anisamehe kwa kauli zangu kumuomba Mushi aache hii thread ya Mrema Mbunge ibakie kuwa ya Mrema Mbunge na si Mrema wa TANROADS.

Nimeamuwa kutochangia thread hii.
Ni kwasababu nimepewa onyo kwa kuingilia mjadala huu na kuupotosha!
Na mimi ninasema hivi...Kama ni mtu wa kulalaimika ni mimi..Kwani nikianza kutafuta thread humu na postings utashangazwa na jinsi umekuwa muonevu toka awali!

Reverand naomba uachane na mimi na mimi nitafanya the same!
Wewe sio baba yangu kunieleza nimekuja kukusikiliza wewe hapa!
Mkubwa ama mdogo..Mwanakijiji ma mwana mjini...Wote tunamichango yetu na tunasikilizwa bila kukemewa!
Unaniudhi sana na tabia yako ya kunikemea all the time!
<LI class=floatcontainer id=vmessage108>
22nd May 2008 09:36 PM
Rev. Kishoka

Ulipokuja, ulionekana kuwa ni makini, ukajijenge heshima. Lakini unaleta ubishi na kung'ang'ania mambbo bila kuwa na facts za kutosha na si msikivu au mwanafunzi mwema. Your methods to try and solve the puzzle or connect the dots are completely backwards and ice aged.

Tuliza boli, sikiliza na ujifunze.

Ujuha unajipaka rangi ya kijuha mwenyewe!
<LI class=floatcontainer id=vmessage106>
22nd May 2008 06:38 PM
jmushi1

Ni lini hiyo nilshawahi kuwa na hadhi ambayo sasa imeshuka?
Kwani all the time si umekuwa ukinifanya nionekane juha?
<LI class=floatcontainer id=vmessage105>
22nd May 2008 06:31 PM
Rev. Kishoka

Umejishushia hadhi kwa uzushi kuwa Daudi Ballali ni sasa Daudi Kinyaga!
<LI class=floatcontainer id=vmessage104>
22nd May 2008 05:01 PM
jmushi1

Nimejishushia hadhi kivipi?
Ukweli usipowekwa wazi kunakuwa na conspiracy theories!
<LI class=floatcontainer id=vmessage88>
22nd May 2008 10:10 AM
Rev. Kishoka

Mushi,

Ukishauriwa, kubali ushauri. Hii habari ya Kinyaga umejishushia hadhi sana, laiti ungesikiliza ulichoambiwa na Mtu wa Pwani!
<LI class=floatcontainer id=vmessage87>
22nd May 2008 07:31 AM
jmushi1

Kivipi mkuu naomba uwe specific!
<LI class=floatcontainer id=vmessage86>
22nd May 2008 06:22 AM
Mtu wa Pwani

sawa mkuu ila ukienda kwa kasi utajigonga na utaangukia pua
<LI class=floatcontainer id=vmessage85>
21st May 2008 11:46 PM
jmushi1

Ni mambo yanayosikitisha ndugu yangu!
Wala hata sijui kwamba thats the case ila niko very closely kwnye conversation na pia kuna mambo ambayo yanakatisha tamaa!
<LI class=floatcontainer id=vmessage69>
21st May 2008 05:32 AM
Mtu wa Pwani

mkuu unatisha, nnakupongeza kwa speed ya maandiko
__________________
 
Usitake kupotosha umma na kutaka uonewe huruma. Wewe ni mzushi wa mambo na mara nyingi huwa unaongea bil akufikira unachosema.

Mara zote ambazo tumetofautiana si suala la hoja bali ni mbinu zako za kuongopa na kuhalalisha makosa yako.

Ilikushinda nini kuachana na hoja nilipokuomba utofautishe Mrema wa Tanroads na Mbunge? Kwa nini ulirudi na kunituhumu kuwa mimi ni Mkabila na Mdini?

Je wakati ule wa sakata la Wanafunzi wa UDSM uliponiita fisadi na kibaraka wa Kikwete nikakuomba uonyeshe ni wapi nimekuwa fisadi au kuwa kibaraka wa Kikwete ukashindwa kuleta ushahidi nilikuwa nakuonea vipi?

Wewe humjui Kinyaga wala Ballali, lakini ulidiriki kuzusha jambo na hata ulipoombwa kuacha kuendeleza uzushi ukakataa kata kata na kuona kuwa eti unanyimwa haki na uhuru.

Kwa taarifa yako, mimi Kinyaga namfahamu vizuri sana, na kama nilivyokuambia mapema, Kinyaga na Ballali hawana uhusiano.

Je leo tukianza kusema kwa kuwa wewe ni Mushi basi una uhusiano na Yusuph Mushi ambaye anatuhumiwa kuwa ni fisadi huku tukijua wazi ni uzushi itakuwa ni jambo sahihi?

Usilie unaonewa wakati unafanya makosa na kuombwa ujisahihishe!
 
Nimeamuwa kutochangia thread hii.
Ni kwasababu nimepewa onyo kwa kuingilia mjadala huu na kuupotosha!
Na mimi ninasema hivi...Kama ni mtu wa kulalaimika ni mimi..Kwani nikianza kutafuta thread humu na postings utashangazwa na jinsi umekuwa muonevu toka awali!

__________________

teh teh teh teh teh
 
Hebu wenye data watupe. Felix Mrema anatajwa kupata Sh bilioni 47 kwa dhamana ya BoT kwa ajili ya biashara ya maua. Kwa sasa anatisha ana "vijisenti' ila inasemekana hizo fedha hazitarudi kama ambavyo nyingine zilizochukuliwa kwa aina hiyo hazijarudi hadi leo.

Tina huyo,
Kweli JF kiboko. Hata kama mtu ulikuwa unafanya mambmbo kwa kujificha saana ila watu fulani walikuwa wanajua, muda wako umefika na mabaya yote yataanikwa na kila mtu ayajue. Siye ngoja tukae mkao wa kula maana WASIKIO ya INTERNET yanawasha kupata habari zaidi.
 
Hebu wenye data watupe. Felix Mrema anatajwa kupata Sh bilioni 47 kwa dhamana ya BoT kwa ajili ya biashara ya maua. Kwa sasa anatisha ana "vijisenti' ila inasemekana hizo fedha hazitarudi kama ambavyo nyingine zilizochukuliwa kwa aina hiyo hazijarudi hadi leo.

Tina huyo,
Kweli JF kiboko. Hata kama mtu ulikuwa unafanya mambmbo kwa kujificha saana ila watu fulani walikuwa wanajua, muda wako umefika na mabaya yote yataanikwa na kila mtu ayajue. Siye ngoja tukae mkao wa kula maana MASIKIO ya INTERNET yanawasha kupata habari zaidi.
 
Back
Top Bottom