Fekon, haojue, honda, sanya, blast ipi inafaa

afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,254
2,675
IPI INAFAA FOR PERSONAL USE BEI NAFUU JE?

BUDGET NI 2M MPAKA 3M

Matumizi hapa hapa Dar na daily rote kazini na kurudi..mfano Segerea to Kinondoni na Masaki?
Rough road na lami pia. NOT FOR BUSINESS

Sualala hadhi yake lipo ila mi nalipotezea kwa faida yangu mwenyewe masuala ya hadhi ntayapata kwa navojiweka kazi cheo taaluma, navokuwa kwenye jami so nko tayari jata kumiliki Haojue ilimradi nij ausafiri.

Nishaurini wana ndugu Asante
 
Ok wanandugu TVs zinaotautiana deisigns/shape..nyinhi naona design ni moja interms of structure ....na je hizi 125 au 150 kwani ni issue sana, ukizingatia sio la kubeba mizigo sana sana ntapakia mtu tu kama lifti au kumpeleka mtu ...au mgeni
 
Pikipiki ni honda hizi za kichina kihindi utafahamina na mafundi wote utakuwa unaenda huko mara kwa mara.
Mkuu hivi kuna honda nyingi sana naona zinatengenezwa India hata yamaha na suzuki naona nyingi made in India, vipi na zenyewe Zina ubora kama za kutoka Japan?
Me nataka kununua honda cb 125f bike au suzuki gs 150r ya mwaka 2019. Lakini zote zinatengezwa India sasa napata wasiwasi ubora wake, nipe maarifa mkuu kama una uzoefu nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom