Feitoto ana cha kujifunza kutoka kwa Bwalya

Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,227
2,197
Nikiwa na tazama mechi ya Simba na Biashara, nimeweza kumfuatilia na kumtazama kwa umakini kiungo soft kutoka Zambia Bwalya. Huyu jamaa ni copy ya Chama tofauti ni miguu wanayotumia. Anajua sana!

Kila anapokuwa na mpira mguuni mawazo yake yote ni kupiga penetration pass. Anapiga chenga huku anaenda mbele. Sio kama Fei Toto ambaye anapoteza mda mwingi kuzunguka na mpira pale pale alipo.Mara aende kulia mara kushoto na kuishia kupiga square pass zisizo na madhara.

Matokeo yake hupelekea mashambulizi mengi ya Yanga kuwa ya taratibu na yanayotabillika.

Magoli kiduchu wanayopata Yanga ni matokeo ya hicho nilichokieleza.
 
Fei bado kunavitu vimepungua, akitimia kabisa kila idara na akawa kiungo aliekamilika basi anatua Simba fasta.

Kwani beigani?,Simba si ndo taifa kubwa hapa nchini, nani anabisha?
Hivi gadiel Michael Yuko wapi? Vipi Ajibu...vipi Kakolanya..
Morrison anaendeleaje hapo?
 
Fei toto
GOAL 4
ASSIS 3
Amehusika kwenye magoli 10.

BWARYA
GOAL- 1
ASSIST -0
amehusika kwenye magoli 0.5
Takwimu hazidanganyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom