Feeling lonely

leoniamahela

Member
Nov 18, 2013
12
4
Habar zenu..? Nahtaj rafiki wa kiume ambae yupo single kama mimi tuwe tunachart na if god wishes tuwe wapenz hatimae tuoane... Sihitaj kuwa diss appounted jaman
 
Pole dawa ya kumpata mmwenza ni goti tu, mengine yooote mbwembwe mpenzi. muombe Mungu atakupa kwa wakati usijeparamia mapepo bure humu.

Binafsi Nilishawahi kutana na mwa JF mmoja (tena kirafiki tu na si ki upenzi zaidi) niliumwa kichwa kwa wiki nzima karibia kufa hadi nilipopelekwa kupata maombi ya deliverance (si uongo). lile lilikuwa pepo nahisi.
 
jamani mjitokeze, kuna nafasi ya kazi huku kwa leoniamahela ....ila Hebu taja sofa zako!
 
Last edited by a moderator:
mume mwema hutoka kwa Mungu na il umpate unahtaj kusal...all the best mdada.
 
Hakuna ajuae siku wala saa atakayepata mume ama mke mwema...

Kila njia ni sahihi... Go ahead sis
 
Huko unakoishi wanaume hawapo binti?

Habar zenu..? Nahtaj rafiki wa kiume ambae yupo single kama mimi tuwe tunachart na if god wishes tuwe wapenz hatimae tuoane... Sihitaj kuwa diss appounted jaman
 
Habar zenu..? Nahtaj rafiki wa kiume ambae yupo single kama mimi tuwe tunachart na if god wishes tuwe wapenz hatimae tuoane... Sihitaj kuwa diss appounted jaman
WEWE!!? Chunga sana ulicho nacho asije muovu akakunyang'anya!
 
Back
Top Bottom