Mamboz,
Nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu JF muda mrefu kidogo, kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious. Yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi basi ni hajatulia hivi, au tu wabaya hata hatutongozwi, lakini huo mtazamo sio sahihi.
Tunajitambua, ni vile tu tunaamini mume anaweza pata popote na akawa sahihi, ni mipango tu ya Mungu mwenyewe.
Mkiona mtu katuma ombi lake muheshimu mawazo yake.
Ni hayo tu, narudi kwenye kufunga, kusali, na kujipenda.
Wakati wa Mungu ni sahihi.