feedback ya kikao na mkurya

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,310
12,808
kwanza kabisa naomba nitoe shukran zangu za dhati kwa wadau waliochukua muda wao na kunishaurii nini nifanye baada ya tukio la jana kwa kweli mlinipa ujasiri mkubwa. ahsanteni sana na mungu awabariki daima
kwa wale ambao mlinizodoa vile vile nawashukuru kwani kwa kiasi fulan mlinielimisha.
turudi kwenye mada
kikao kilifanyika kwenye majira ya sa mbili na jirani alikuja akiwa amepoa kabisa. aliniambia mengi ambayo yaliniacha mdomo wazi.
kumbe huyu kimada ndio chaguo lake na alishazaa naye ila wazazi wake walikataa asimuoe kwa sababu sio mkurya (ni mjita) na ni mchafu (hajatahiriwa) ndipo wakamtafutia huyo shost ambaye anasoma huko nairobi. kipindi hicho alikuwa binti mdogo wa sekondari. alipomaliza tu sekondari akamuoa na akatakiwa amuendeleze.
mimi nikamwambia kwamba ni kweli mimi nilimwambia lakini alishakuwa na taarifa na mimi nilifanya finishing tu.

ameniomba tubadilishe story lakini mimi nimekataa kujihusisha na mambo yao nimemwambia amalizane nalo yeye mwenyewe. na nimeamua kwamba nisiendelee kukaa hapa kwani anaweza kuwa na kinyongo.

hivi wakurya hii mila ya kutahiriwa bado wanaifanya haaa!!!!! sikujua kama bado inamashiko. mmh inabidi muache jameni.

cc Sista chakii 'Valentina' Asprin watu8 sungura1980 mwekundu Gefu IROKOS BADILI TABIA kuberwa miss wa kinyaru Nambe gfsonwin Ruttashobolwa Mentor atoto miss chagga Munkari Mapi jamiif amu King'ast Mamndenyi Heaven on Earth Baba Wawili 2012 Ennie Malafyale josephmasamaki bahatika SUZANE mwallu mshana jr charminglady matmafcha pipii ushiboy nameless girl Chimunguru Kiboko PetCash amu
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha napendaga vikao vyenye feedback kama nilikashauri,lakini hapa mkuu atakuweka kwenye kundi linamchunguza maisha yake au nakosea?
 
Hivi ni wakurya tu ndiyo wanaotahiri wanawake???Mbona kuna baadhi ya makabila mengine yanafanya hivyo pia!!?????
 
nimepitia mada yako ya jana titled "Nimelikoroga" coz I missed it, ulifanya ujirani mwema but wakati mwingine chukua tahadhari
 
nasikia makabila mengine yamepunguza na yanafanya kwa siri sana, ila wakurya wanafanya hadharani na wanadai ni uchafu.
Nilibahatika kuishi huko ukuryani, kuna wakurya pia hawataki kabisa hayo mambo,hivyo na wao wameanza kubadilika tena kwa kasi mno.
 
Duu! Pole bestito! Bora kama amekupa ful data na kawa mpole,ila uamuz unaotaka kuchukua naona ni waheri ili kuepusha majanga mengne mana linaweza tokea lingne akakuhsi wewe.ila suala la kutahiriwa mh lakn ckuhz naona jamii inaelimika c kama zamani.
 
kwanza kabisa naomba nitoe shukran zangu za dhati kwa wadau waliochukua muda wao na kunishaurii nini nifanye baada ya tukio la jana kwa kweli mlinipa ujasiri mkubwa. ahsanteni sana na mungu awabariki daima
kwa wale ambao mlinizodoa vile vile nawashukuru kwani kwa kiasi fulan mlinielimisha.
turudi kwenye mada
kikao kilifanyika kwenye majira ya sa mbili na jirani alikuja akiwa amepoa kabisa. aliniambia mengi ambayo yaliniacha mdomo wazi.
kumbe huyu kimada ndio chaguo lake na alishazaa naye ila wazazi wake walikataa asimuoe kwa sababu sio mkurya (ni mjita) na ni mchafu (hajatahiriwa) ndipo wakamtafutia huyo shost ambaye anasoma huko nairobi. kipindi hicho alikuwa binti mdogo wa sekondari. alipomaliza tu sekondari akamuoa na akatakiwa amuendeleze.
mimi nikamwambia kwamba ni kweli mimi nilimwambia lakini alishakuwa na taarifa na mimi nilifanya finishing tu.

ameniomba tubadilishe story lakini mimi nimekataa kujihusisha na mambo yao nimemwambia amalizane nalo yeye mwenyewe. na nimeamua kwamba nisiendelee kukaa hapa kwani anaweza kuwa na kinyongo.

hivi wakurya hii mila ya kutahiriwa bado wanaifanya haaa!!!!! sikujua kama bado inamashiko. mmh inabidi muache jameni.

cc Sista chakii 'Valentina' Asprin watu8 sungura1980 mwekundu Gefu IROKOS BADILI TABIA kuberwa miss wa kinyaru Nambe gfsonwin Ruttashobolwa Mentor atoto miss chagga Munkari Mapi jamiif amu King'ast Mamndenyi Heaven on Earth Baba Wawili 2012 Ennie Malafyale josephmasamaki bahatika SUZANE mwallu mshana jr charminglady matmafcha pipii ushiboy nameless girl Chimunguru Kiboko PetCash amu
Aiseee sikuiona hata hiyo post yako mumyto
 
Last edited by a moderator:
lesson learnt

Umefanya la maana kuamua kuhama hapo. Hiyo ndoa ina mengi na wala mke kujua hautakuwa mwisho wa mahusiano na mjita kama wameshazaa na anadai ndio chaguo lake.
Hama uwaachie sakata lao watatu watajua jinsi ya kulimaliza.
Gud luck!!!!!
 
Duu! Pole bestito! Bora kama amekupa ful data na kawa mpole,ila uamuz unaotaka kuchukua naona ni waheri ili kuepusha majanga mengne mana linaweza tokea lingne akakuhsi wewe.ila suala la kutahiriwa mh lakn ckuhz naona jamii inaelimika c kama zamani.
ukiwa mjini hivi huwezi kujua hali ilvyo huko ukuryani yaani unaambiwa huko mwanamke asiye tahiriwa si mtu na wanadai anatengwa kabisa.
 
Daaah yeye keshazoea king'amuzi mke kila akipapasa anakuta kipara.....kweli chaguo lake.
Hii tamu la muhimu hama tu
 
Back
Top Bottom