King In The North
Member
- Mar 13, 2019
- 64
- 30
Wakuu habari,
Kama mnakumbuka muda kadhaa uliopita, nilipandisha uzi hapa Jamvini kuomba ushauri wa kitabibu kuhusu tatizo la Fungus sugu kwenye Nyeti lililokua linatusumbua mimi na mke wangu kipenzi
Niwashukuru sana wote mlionipa ushauri na jinsi ya kulitatua hili tatizo. Kwa kweli sasa hivi mimi na mke wangu tunaendelea vizuri.
Nilipokea ushauri mwingi sana ila nikaamua nianze na mmoja kwanza maana ni ngumu kufuata kila ushauri kwa wakati mmoja.
Nilianza na ushauri wa ndugu American Ninja ambaye alinihakikishia kuwa, kuna dawa anayoiamini kabisa inaweza kutusaidia, nayo ni SKDERM CREAM.
Niliinunua hii dawa na tukaanza kuitumia mimi na wife. Baada ya wiki moja tukaanza kupata releaf. Na hadi sasa muwasho umepotea.
Shida moja ambayo ipo, ni baada ya kuitumia kama wiki mbili hivi, tukasema tuache kutumia tuone.. Baada ya siku mbili tu, muwasho ukaanza kurudi kwa mbaali, ila tukitumia dawa unakata.
Kuhusu usafi, tunazingatia sana usafi. Kila siku tunaweka shuka safi, nguo za ndani tunazifua na kuzianika juani na kuzipiga pasi kabla ya kuvaa.
Kwakua nimeshafika hatua hii ndugu zangu, nisaidieni tena ili niweze kulimaliza permanently hili suala na tukae bila kupaka dawa. Coz tukiacha tu dawa, linaanza kurudi tena hili suala la muwasho...
Msichoke kutupa msaada wenu.
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app

Please Tusaidieni Mimi na Mke wangu tunaumwa fangus kwenye nyeti kwa muda mrefu bila kupata
Wakuu habari, Mimi ni mgeni hapa JF. Ni mgeni maana nimefungua account leo. Ila nimekua nikisoma na kufuatilia mjadala mbali mbali ya afya humu ndani kwa miaka mitatu ila sikua nachangia. Nina umri wa miaka 30 na mke wangu ana miaka 27. Mwaka 2016 mwezi wa nne, nilisafiri kikazi kwenda huko...
www.jamiiforums.com