NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,512
- 17,417
Wanabodi za jioni!
Kutokana na aina ya utawala uliopo ni vigumu sana kwa waziri yeyote kusain mkataba wa mkopo bila idhini ya Rais!Najiuliza Kangi kapata wapi huu ujasiri?
Yaani asaini mkataba wa mkopo wa trillion ya mapesa bila Raisi kujua?sio kwamba hii ni fiction ya kuhalalisha kupitishwa kwa fedha fulani kwenye mfumo?
Nimemsikia Raisi akisema eti hiyo miradi itaendelea bila kusitishwa baada ya kusainiwa!Ina maana Hata yeye hawezi kuuvunja huo mkataba sasa kuwatumbua wakina lugola hakuna maana kama mkataba umeshainiwa!
Mi nafikiri fedha hizi ni mkopo wenye dhamana kubwa sana ndipo Tetesi ya Ndugu yangu Synthesizer naanza kuiamini Kuwa reserve yetu ya Helium inatumika kuhalalisha mikopo mikubwa ya ghafla kama hii.
Ref: Tetesi: - Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk
Nadhani na fedha za uchaguzi ujao zimepatikana kwa stahili hii ya kuwatoa waziri na katibu wake kafara!
Kwasababu hata sababu za Kuenguliwa kwao hazijitoshelezi kabisa!
Eti Bunge halijapitisha wakati miradi mikubwa yote Bunge halikuhusika kupitisha Bajeti zake awamu hii ya tano!!
Wadau naombeni tusaidiane kutafakari sinema hii kali ya mwaka mpya!!!!