Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,196
- 25,516
Rais Dr. John P. Magufuli amewataka wote walioficha kiasi kikubwa cha fedha wazirejeshe kwenye mzunguko. Imeripotiwa kuwa wapo walioziondoa fedha zao kwenye benki na kuzificha nyumbani kwao.
Wataalamu wa mambo ya uchumi tusaidieni,fedha hizo zitarejeshwaje kwenye mzunguko na zitasaidiaje kupunguza ukata wa fedha wa sasa? Uchumi si fani yangu,mniwie radhi kama nimeuliza swali rahisi au la kitoto. Kuuliza si ujinga!