Fedha za waafrika kwa magunia zinapelekwa ulaya.

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
Ukitaka kushangaa pitia hapa. BBC News - Chirac-Villepin allegations revive sleazy memories


The French are torn between revulsion and disbelief over claims that ex-President Jacques Chirac and his ally Dominique de Villepin received tens of millions of dollars in bundles of banknotes from several African leaders.


Hili la kuwa Afrika ndio inazinufaisha US,China na Ulaya sio kitu kipya kukisikia au?

Saikolojia ya kutawaliwa imetuingia vibaya. Tunaacha watoto wanakufa ovyo bila matibabu lakini tunazipeleka kwa magunia.
 
Hawa na wenyewe kwa nini hawapelekwi International Criminal Court (ICC) hulo The Hague kama wanavyopelekwa viongozi wa Afrika? Au ile ni mahakama ya wanyonge?
 
maji machache hutoka milimani na kuelekea baharini yaliko mengi...! muuaji wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom