Nadhani haina shida kuwa na car cable, mimi binafsi kupanda mlima sioni kama ni kitu cha mubimu. Ila kama kungekuwa na hiyo car ningeenda kupanda.The beauty of Mt Kilimanjaro ni kupanda kwa miguu na watalii wengi wanakuja kwa sababu ya kupanda kwa miguu.
What the point ya kupanda kwa kutumia cable car. Ukisha kileleni utasema umepanda mlima Kilimanjaro?
Hii itapunguza watalii wengi wa nje labda wa hapa nyumbani wanaotaka kulinda vitambi vyao.