Fedha za safari za JK zaibwa na watendaji

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,790
Fedha za safari za JK zaibwa

MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa "kwa ajili ya safari za rais," MwanaHALISI limeelezwa.

Taarifa za uhakika zilizopatikana ndani ya ikulu na wizara hiyo, zimesema kwamba maofisa hao, akiwemo Mkuu wa Itifaki, walifanikiwa kuchota Sh. 3 bilioni "kutoka benki moja nchini."

........................................................................

Source: Gazeti la Mwanahalisi:
 
Taarifa zinasema walisimamishwa kazi wiki mbili zilizopita, but kati ya hao waliosimamishwa kuna ambao wapo Nje ya nchi (Brazil) kikazi mpaka sasa. Kuna haja ya kujua namna transaction ya kutoa fedha za matumizi serikalini inavyofanyika coz haiwezekani Katibu wa wizara asijue dili kama hilo! Si ajabu hata TAKUKURU wamepata taarifa hizi kupitia Mwanahalisi!
 
Fedha za safari za JK zaibwa

MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa “kwa ajili ya safari za rais,” MwanaHALISI limeelezwa.
Taarifa za uhakika zilizopatikana ndani ya ikulu na wizara hiyo, zimesema kwamba maofisa hao, akiwemo Mkuu wa Itifaki, walifanikiwa kuchota Sh. 3 bilioni “kutoka benki moja nchini.”
..................................................................................................

Source: Gazeti la Mwanahalisi:

Na hizo ni chache jamaa uwa wanapiga sana za kutosha, hii inatokana na matumizi yote kukosa serious auditing...ukiuliza unaambiwa katumia mheshimiwa.....then nani mwenye ubavu wa kwenda kumuuliza mheshimiwa? Kazi badi tunayo kweli....
 
Hiyo ndio sifa yetu watanzania,tumechoka kusikia haya mambo ya wizi kila kukicha 2015 ufisadi basi ktk sanduku la kura
 
MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa “kwa ajili ya safari za rais,” MwanaHALISI limeelezwa.

Taarifa za uhakika zilizopatikana ndani ya ikulu na wizara hiyo, zimesema kwamba maofisa hao, akiwemo Mkuu wa Itifaki, walifanikiwa kuchota Sh. 3 bilioni “kutoka benki moja nchini.”

Zaidi Soma Mwanahalisi!

Fedha za safari za JK zaibwa

MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa "kwa ajili ya safari za rais," MwanaHALISI limeelezwa.

Taarifa za uhakika zilizopatikana ndani ya ikulu na wizara hiyo, zimesema kwamba maofisa hao, akiwemo Mkuu wa Itifaki, walifanikiwa kuchota Sh. 3 bilioni "kutoka benki moja nchini."

........................................................................

Source: Gazeti la Mwanahalisi:

Labda waliona safari zimezidi na manufaa kwa nchi hakuna wakaona bora wanufaike wao.
 
...kwa jinsi mambo yanavyoenda nchi hii inasikitisha sana...sasa tutegemee kweli tutaendelea? watu wanawaza kuiba tu, waajiriwa wapya wanawaza kuwa watapata dili la kuiba, wanaokaribia kustaafu wanaona walichelewa kuiba. Nchi haiendeshwi kwa sheria na kanuni bali kwa utashi wa kiongozi. Ukiwa karibu na kiongozi wewe unaweza kufanya lolote. Mbwa wa mkubwa ni mkubwa wa mbwa wote....
 
Kama ni kweli watakuwa wamefanya jambo la maana mkuu abaki nchini for a while maana amezidi
 
Back
Top Bottom